Mambo ya bongo movie hayo

Afadhali ya hizo mie nimewahi kuona Jini anamfukuza mtu aaf kwenye taa za barabarani akasimama ili asigongwe na gari baadae huko mbele jinni akachoka ikabidi akodi bajaji ili aendelee kumkimbiza binadamu. Duuh nikazima na TV yenyewe
 
jini linaogopa kugongwa gari
 
Haya makosa madogo madogo hutokana na... movie Director, Assistant Director, Script writer, Make up artist, Camera man, Sound Engineer kuwa mtu huyo huyo mmoja..

Kwa hiyo siku ya ku shoot anaitwa msanii wa scene hiyo wao wanashoot wawili tu...

Mwendo ndiyo huo huo...
Kwa nini makosa yasitokee....

Cc: mahondaw
 
Afadhali ya hizo mie nimewahi kuona Jini anamfukuza mtu aaf kwenye taa za barabarani akasimama ili asigongwe na gari baadae huko mbele jinni akachoka ikabidi akodi bajaji ili aendelee kumkimbiza binadamu. Duuh nikazima na TV yenyewe
 
Jambazi lazima awe anavuta sigara
 
hahahahahahaaa bongo muvie hawavunj hata glasi kudadadeki
 
Acheni nibaki Korea,China na Marekani
Prison break season 5, imeendeleaje baada ya sheikh of light kufika town.

Into the Badland , baada ya Quinn kumuua mwanawe kimeendelea nini , sunny aliiba Gari episode ya kumi na sita season ya 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…