Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
teh teh tehNa wewe unamjibu; Du balaa, nimepigiwa simu hapa Dingi mgonjwa ghafla, ngoja nikimbie Kimara mara moja nitakucheki
teh teh tehDuh, nyie vijana wa siku hizi mna mambo.....
teh teh teh
Mkuu hujawahi fanyiwa hivi mkuu??