Mambo ya ajabu yaliogunduliwa sayari ya Mars

Ila sijaelewa Earth kwanini imechokwa... au vitisho vya jehanam? Watu wanataka kukwepa?
Miaka bilion 7 ijayo dunia itamezwa na jua .. safe place itakuwa katika miezi ya jupiter na hapo hatutakaa sana maana jua litasinyaa inabidi tutafute sayari nyingine nje ya hii solar system tukaishi
 
Jinsi wanasayansi hawa wanavyotafiti maisha kwenye Sayari nje ya hii yetu, huende kuna wanasayansi ktk sayari zingine za mbaaaaali nao wanahangaika kutafiti kama kuna Maisha na Viumbe wengine nje ya Sayari zao huko.

Binadamu wa Karne zijazo Wataona na Kugundua Mengi Makubwa
 
kwa hiyo yawezekana hapo baadaye dunia nayo alien wakaivamia
 
Me nashangaa mnaoponda hawa wazungu kutafuta sayari yenye uhai nje ya dunia.
Wao sio wajinga huenda kuna kitu kibaya wamekigundua kuhusiana na uwepo wa dunia miaka ijayo hivyo wanahaha kutuandalia sisi wanadamu mahali pengine pa kuishi .
 
mh kitu gani na kama kuharibu wao ndiyo wataharibu wanajifanya wajuaji sana watahangaika sana ila dunia itabak kuwa dunia tu kwa maisha ya binadamu

Wazee wa adventures hao
 
Miaka bilion 7 ijayo dunia itamezwa na jua .. safe place itakuwa katika miezi ya jupiter na hapo hatutakaa sana maana jua litasinyaa inabidi tutafute sayari nyingine nje ya hii solar system tukaishi
Utakuwepo eeeh!
 
Hawataweza kamwe wataishia porojo tu ,maisha ni hapahapa duniani .
Hata huko mars zamani hizo kulikuwa na maisha ,Vita ya nuclear ikatoa uhai wa hiyo sayari ,viumbe wengi wakaangamia ,inasemekana waliobahatika waliikimbia hiyo sayari na kwenda sayari nyingine! tambua kuwa viumbe hai haviko pekee sayari ya dunia,tupo wenge kwenye haya maisha sema hatujuani !!
 
Mkuu kwani umeambiwa ukiwa Mars ndio hakuna kufa?
Ila ukifia mars ,huenda utakuwa si miongoni mwa walengwa ,wa kunyakuliwa .maana huko mars mkubwa nako atawafuata hukohuko au itakuwaje!maana kwenye vitabu vya Allah mars haijaongelewa ni dunia tu ndo imeongelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom