Mambo ya ajabu yaliogunduliwa sayari ya Mars

Mambo ya ajabu yaliogunduliwa sayari ya Mars

Miaka bilion 7 ijayo dunia itamezwa na jua .. safe place itakuwa katika miezi ya jupiter na hapo hatutakaa sana maana jua litasinyaa inabidi tutafute sayari nyingine nje ya hii solar system tukaishi
Sasa hv tuko 2022,Hadi tufi elfu 10,laki 5,mil 1.daah Sasa hiyo miaka bil 7 .
 
Hawataweza kamwe wataishia porojo tu ,maisha ni hapahapa duniani .
Mambo yangekua kama tunavyofikiri wengi wetu hizi gunduzi zote mfano hai n cm unayotumia mtu wa BC (before christ)ukimwamsha ukamuonyesha cm ataona unakufuru.
N vitu vinawezekana na wafatiliaji wapo sisi tule viporo tusubiri kifo.
 
Magenitic field ndo mhimili wa uhai kwa viumbe hai! Kiufupi hakutakuja kuwa na makazi ya binadam Mars! Hizi ni porojo tu
Swala sio carbon dioxide hakuna magnetic field hakuna ozone layer, gravitational force ni ndogo hivi vitu viwili ni kikwazo kikubwa sana mars
himili wa
 
Back
Top Bottom