KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,530
- 89,055
MirihiSayar ya Mars kwa kiswahili fasaha ndo inatwaje
MirihiSayar ya Mars kwa kiswahili fasaha ndo inatwaje
Wanachukulia simple kama kutengeneza movies za kina Avatar na Marvels wanavyo tudanganya watu kwenda sayari mbalimbali na kuanzisha maisha ni kama kutoka mbagala kwenda buza.[emoji1787][emoji1787]mzungu naye anataka awe na dunia yake dah
yaan wanafikiri movie ile halafu wasifikir aliyechagua dunia ndiyo iwe sehemu ya maisha mjingaWanachukulia simple kama kutengeneza movies za kina Avatar na Marvels wanavyo tudanganya watu kwenda sayari mbalimbali na kuanzisha maisha ni kama kutoka mbagala kwenda buza.
Tena huyu ndie kachafua hii dunia na viwanda vinavyotoa gasi chafu na zinazoongeza joto afu anataka kutuachia msala, hii mission yake haiwezekani. Bila watu hii dunia ungekuta ina mandhari bora zaidi ya ilivyo sasa.wazungu wanataka dunia kuwaachia ngoz nyeusi
Swala sio carbon dioxide hakuna magnetic field hakuna ozone layer, gravitational force ni ndogo hivi vitu viwili ni kikwazo kikubwa sana marskama ingekuwepo kusingekuwepo na hiyo carbon dioxide kwa maana nyingine hamna
kabisa hilo halipingiki maviwanda yao yameharibu sana mazingiraTena huyu ndie kachafua hii dunia na viwanda vinavyotoa gasi chafu na zinazoongeza joto afu anataka kutuachia msala, hii mission yake haiwezekani. Bila watu hii dunia ungekuta ina mandhari bora zaidi ya ilivyo sasa.
kifo hakikimbiliki labda kwenye mars miaka inaganda[emoji848][emoji848]Wameharibu dunia afu wanataka kukimbilia sayari nyingine dunia dunia tu huko wanapoenda kukaa sijui kama watasurvive kipindi chote hamna maji hamna oxygen,kuna mionzi,chakula hamna hao wanaoenda tu wanachakula special ,mitungi ya gesi kazi Kweli,waendelee tu kutudanganya kama Kwenye the 100 haha,,,anyway siku yako yakufa ikifika lazima ufe uwe kwenye moon,pluto au mars lazima utakufa kama wanajidanganya wakienda huko hawatokufa haha
MihiriSayar ya Mars kwa kiswahili fasaha ndo inatwaje