Mambo ya ajabu ayafanyayo mwanadamu

Unasubiri jumatatu post kama hizi hutaziona je itakuaje.
 
Kula tano!
 
Unachagua CCM ilhali utasoma namba, walalamika nin ulipenda mwenyewe
 
Unategemea mambo mazur kwenye nchi ambayo Magu ndio rais...... BILA SHAKA KWA HIYO KICHWA YAKO HAIKO BRAIN!!!!

Dubu enenda taratibu usijenaswa na wale vijana wabaotinga miwani na suti nyeusi kwa uchochezi.Nasikia mateso yao ni balaa.Utahisi umetumbukizwa ndani ya magma.Wanazikamata kokwa(korodani) wanazibinya kwa kutumia koleo....
 
6.Unapunguza sauti ya Tv ili usome sms kwenye simu yako, kuna uhusiano kweli?
7.Unatoka nyumbani umevaa kimini kifupi na kitopu unajiangalia kwenye kioo unaridhika,halafu unafika njiani unaanza kukivuta chini watu wasione mapaja, unataka kumaanisha nini?
8.Unapanda daladala watu wamejaa mpaka wanakushangaa kwa nini umepanda,halafu akipanda mwenzako muda mfupi baadae na wewe eti unalalamika daladala limejaa!!!! kweli nyani haoni....
 
Huwa nashangaa mno watu wanaovaa Ndomu.

Ni wazi kuwa wao sio wanaume majasiri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…