Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

utasikia baby tuma picha ...
tuma picha unatuma bado tena
tuma picha ... hivi niwaulize
mnatengenezea movie hizo
picha ni nini tatizo?...######

ni shida nadhan kama ni movie hata series zingetosha
MankaM zingekuwa znzingia sokoni ni pesa nyingi
 
hii ni point zuri ila nataka kujua kwa nini wanaume ni wepesi sana kujisahau kwenye hayo mapenzi
 
Ok! maam...

Ila mapenzi yenye kujengwa na urafiki ndani yake ni mapenzi BORA kabisa. Mkiwa marafiki hamuwezi kufanyiana hayo uloyataja.

Vijana wengi tunakurukuka na kutegemea benefits au kufananisha mahusiano yetu na ya watu fulani, hapo mambo lazima yataenda mrama tu.
 
Wanaume ni wachache sana.
Wengi wanalalamika tuuuu hadi kero
Wanakimbia majukumu yao

Ni kweli wana penda mteremko hao sijui wametoa wapi hyo tabia mwanaume atakula kwa jasho cha kushangaza wao ni walalamishi wakubwa wanakwepa majukumu ndo mana mamariooo wamezidi hadi wanatimuliwa na wake zao
 
utasikia baby tuma picha ...
tuma picha unatuma bado tena
tuma picha ... hivi niwaulize
mnatengenezea movie hizo
picha ni nini tatizo?...######

ni shida nadhan kama ni movie hata series zingetosha

Ha ha ha uuuupsi mbavu zang
Picha tuu anataka kila mda kulaleki hiyo series
 
sawa mamy ushauri mzuri tu
 

ni kweli kabisa na kusukumwa na msukumo wa nje kuliko wa ndani ni tatizo.... hope rafiki wewe haupo hivyo... embu tutoke kidogo umeenda kweye msiba wa baba yake mr .rocky
 
hii ni point zuri ila nataka kujua kwa nini wanaume ni wepesi sana kujisahau kwenye hayo mapenzi
Msome mtu wako vyema na jua anapenda nini na yeye akusome vyema tanianeni na mjenge mahusiano zaidi ya kugegedana, muwe mna share mambo ya nje ya mahusiano, kushauriana na mambo kama hayo ili umjengee mwenzako hali ya kutokuthamini au kukumbuka kwingine akiza na raha au shida. MAKE HIM TO REMEMBER YOU....
 
pesa nyingu sana maana season mbili kila wiki sasa ukijumlisha kwa mwaka mzima ni sh ngapi

utasikia baby upo wapi natembea kuna siku nilikuwa napita mwembe chai dada kakazana kupjipiga picha kidogo piki piki imgonge ni tatizo.. ila kiukweli sikujua anamtumia nani
 

okey Mr dikembe i think few men like u ... be blessed my dear ... hope huna matatizo ya kununa, uchoyo na kuomba omba picha
 
ni kweli kabisa na kusukumwa na msukumo wa nje kuliko wa ndani ni tatizo.... hope rafiki wewe haupo hivyo... embu tutoke kidogo umeenda kweye msiba wa baba yake mr .rocky
Hahaaa...umenifurahisha kwa certificate...thanks
Msibani sijaenda ila nliwasiliana nae na kumpa pole zake. wew hukufanikiwa kushiriki pia?
 
 
okey Mr dikembe i think few men like u ... be blessed my dear ... hope huna matatizo ya kununa, uchoyo na kuomba omba picha
Hahahaa , hapana siwezi kua hivyo, huwa najenga urafiki na mtu ili tuweze kufurahia relationship to the maximum. Yaani nina tabia ya kufanya jambo nafanya kwa ukamilifu ili nisijutie. Hahaaa umenipaisha sana mkuu japo nina mapungufu but sio hayo uloyataja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…