Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Hayo yako tu.Mie na kaka yangu huwezi kutugombanisha hata siku moja

Wii achana nae huyo mwanamke....karoho kanataka kumtoka akiona mimi na kaka yako tumezama kwenye dimbwi la mahaba...
 

katika hali ya kawaida mwanaume mwenye tabia hizo mara nyingi hukataliwa na wanawake. Ukiona mwanaume mwenye tabia hizo yuko na mwanamke kwenye uhusiano wa muda mrefu, jua fika kwamba mwanamke ndiye anayelazimishia uhusiano. Kosa ni la hao wanawake.
 
hapo kwa pombe umenigusa miss chagga kuna jamaa yangu anakazi nzuru tu ila ndo hivo anajali marafiki sana yaan ni bata kwa kwenda mbele.....kutoa ofa kwa marafiki hata asio wajua kwake sio ishu yaani nikiwa naye nakereka nawajibika kuwanunulia pombe jamaa nisio wajua hata tukikutana hatuwez salimiana sembuse kukumbukana.......
Nimekuwa namshauri tufanye bznar lakini wapi pesa anazitafuta kweli ila zinaishia kwa kitmoto, bia na michepuko kiasi kwamba hata mshahara haumtoshi....
Yalinikuta wajameni mkewe alinipiga stop ya kwenda kwake yaani usije kwangu kabisa akiamini mimi ndo nampoteza muwewe...ndo hivo hajui mimi ni mpiganaji natafuta dolari kushoto kulia.
 
Last edited by a moderator:
katika hali ya kawaida mwanaume mwenye tabia hizo mara nyingi hukataliwa na wanawake. Ukiona mwanaume mwenye tabia hizo yuko na mwanamke kwenye uhusiano wa muda mrefu, jua fika kwamba mwanamke ndiye anayelazimishia uhusiano. Kosa ni la hao wanawake.

Ila kwa kizaz hich cha dot com naona wamezidi sana
 

Ni tatizo kwa kweli starehe iwe kwa kias na familia isipate shida .
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…