stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
kupewa papuchi anataka lakini kumhudumia hataki...
mmmh Kaizer kuna agenda ya siri hapa mbona umekua mkarimu sana
Karibu pia....[/QUOTE asante
Unaweza ukapewa hela lakini kukawa na vitu vingi vinakosekana heshima, upendo na utulivu ndani ya nyumba au mahusiano Kwahiyo pesa sio kila kitu .Mwanamme anayotoa hela kama ndiyo kigezo cha kudumisha penzi ndiyo tatizo kubwa kwangu
Mkuu...
Usiseme nalala nae kama mke kumbuka yeye ni mtu mzima pia, nayeye analala na mimi kama mume wake. sema tunalala kama wana ndoa sababu sote kwa hiari yetu na makubaliano yenye ridhaa zetu sote tumeamua.
hivyo hapa tunahudumiana ndio maisha kusaidiana na sio kuchunana! sababu tunapendana na sio nakupenda peke yangu. wewe pia unanipenda. ingekua wewe ni mtoto au mgonjwa wa akili ningekuhudumia sababu hukuamua kwa akili yako huru kulalala na mimi.....
sawa mkuu Khantwe ???
Sasa kuna tofauti gani na ya kununua? Maana siku hizi Papuchi zinauzwa kwa two ways,,
Direct - Malaya
Indirect - MaSister Duu
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
mwanamme anayotoa hela kama ndiyo kigezo cha kudumisha penzi ndiyo tatizo kubwa kwangu
sasa kuna tofauti gani na ya kununua? Maana siku hizi papuchi zinauzwa kwa two ways,,
direct - malaya
indirect - masister duu
sent from my ipad air using jamiiforums mobile app
sina nafasi kwa wanawake tegemezi hata kidogo
yani laki tano kwa mwez ni mpe na hela ya shopping tena huwezi kuwa serious miss chagga asee.....hiyo yote anafanyia nini?kwa mwezi
anajenga nyumba kwao
Hujambo wewe? Naona busy sana. Huo ubusy uishie huko huko, isifike usiku wakati wa kulala ukiwa bado busy. Inapofika wakati wa kulala inabidi uwe free na unatakiwa kulala bila kizuizi chochote katika mwili wako. miavipi mzee wa mia
Hahahah...hana tatizo my husband sema alikuwa anakujulisha tu kuwa mi muke ya mutu so that u dont go far teeh..!
Swty, I luv u!
Unakumbuka Leo Ni Mara ya ngapi Nakwambia nakupenda?
Wambie hivi, MAHABA BILA YA WIVU HAYO SI MAHABA ATII!
Cc: miss neddy mwallu
Swty, I luv u!
Unakumbuka Leo Ni Mara ya ngapi Nakwambia nakupenda?
Wambie hivi, MAHABA BILA YA WIVU HAYO SI MAHABA ATII!
Cc: miss neddy mwallu
Kidogo nizimie. mia