jiananume la kununa nuna ni ushamba na mjinga pia mtu kakukosea mwambie... huna furaha sema leo sina furaha bosi kanitukana ili mimi nijue nakutreat vipi? umekuja umejinunisha unataka mimi nikusidiaje ... ukisema umekasirika kwa 1,2,3 na unatamani ufanyiwe nini naweza toa msaada... si umekuja umenuna mimi nikushike kiuno kumbe unahitaji kushikwa nywele muwe mnaongea...
Halafu....kwenye huu uzi umeliona hilo la pesa tu? Mbona yapo na mengine?
mchungaji naona unasuuza nafsi
Baby basi jamani loh mpaka nashindwa kunywa maji unavyolipuka Kama mabomu ya mbagala
I love you honey
bila pic yako siku haiendi...
nilivyokumiss sasa na hizi genye utakoma mwenyewe tukionana
love you mwaaaah
Baby basi jamani loh mpaka nashindwa kunywa maji unavyolipuka Kama mabomu ya mbagala
Ngoja Hii niiweke Kwa USHAHIDI!
Tized Huyu miss chagga kumbe ajatulia Huyu lusungo nae Yupo! Sasa ndugu yetu akirudi tumuonyeshe hizi Habari!
Pesa ..pesa ..pesa..pesa..umaskini ukichanganya na tamaa mbaya mno
Mwanaume mlalamishi na siyejua kutimiza majukumu yake ni tatizo kubwa.
Du ka wangu, mbishi, mlalamishi, hajitumi, anapenda kukopakopa tu, sip muwajibikaji ka mme yani alivyo anatamani sikumoja nimwite mke wangu kwajinsi nilivyo vaa uhusika wa ubaba hasa katika maswala ya kutafuta , anachoweza yeye ni ku mbato, na ukimnyima maku anakua ka kavuta bangi asa mi najiulizagabona hanihudumii
Kwani hujamuona kaka yako mbona husemi shida?
hahahahahaha nilisahau kaka Ntuzu nilikumiss sana ujue home utakuja lini
Chaliii hela inatafutwa ili itumike aisee
ndio ila kwa mfano mwanamke anakazi ukimpa laki tano kwa mwezi yake na mtoto au laki nne afu bado analalamika haitoshi huyo unamchukuliaje