Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Wanajanvi sitaki kuwarudisha nyuma ya haya maongezi ila ninashindwa kuelewa ni wanaume wa aina gani wanaongelewa hapa? Je na wale vijijini wanaongelewa au hapana? Nikiwa na maana kwa mfano kule Kyela ndani au Marangu ndani mpaka hatu kule Karagwe ndani kabisa?
 
utasikia baby tuma picha ...
tuma picha unatuma bado tena
tuma picha ... hivi niwaulize
mnatengenezea movie hizo
picha ni nini tatizo?...#####
#
ni shida nadhan kama ni movie hata series zingetosha
aiseeee jf raha nimecheka sana
 

hahahahah i see me hapo kwenye blue daaa
mwl snowhite
 
Sisi tunao wake watano hatuna huo Muda wa kufanya hayo,Kila mmoja depends my dick,Narudia tena hatuna muda huo.PERIOD.
 

wamjini ndiyo haswaaa nawalenga
 
Dada yangu mwanaume wa style hiyo utakuwa umemuokota bar, katika hatua zenu za urafiki/uchumba mpaka ndoa hukupata muda wa kumchunguza? Hata kumtembelea nyumbani kwake? Au mlikuwa mnakutana gest house?
hizi mada ukitaka uwe fair usiwe personal!
we kwa akili yako niliyoandika hapo nimeandika kutoka hewani?
na kimsingi unafikir yote hayo unayakuta kwa mtu mmoja?
msijadili mada za kiutuuzima kwa akili ya kitoto!
tanua upeo na uwezo wa kufikiri !
angalia maisha mengine thn weka hoja mezani sio unaongea ongea tu kama umekunywa maji ya choo cha hiyo gesti unayofikiri ndiko watu wanakutana ili mpaka wanaoana!
mxxxxxxxxxxxxxxxiou![/QUOTE]

I'm not attacking you at all! Don't get it twisted, iwe wewe au mwanamke mwingine yoyote huwezi kuwa na mwanaume mwenye tabia za kuvua suruali mlangoni usijue!

Au mwenye kuweka miguu mezani usijue! Maana matendo hayo yanafanyika nyumbani, ndio nimekuuliza huyo mwanaume utakuwa unakutana nae guest? Mpaka ushindwe kujua tabia zake! It might look like I was attacking you but not all!

Na kwann upaniki kiasi hicho if you got good hubby?!
 
naona wanawake siku hizi mnatafuta "GENETIC MODIFIED MEN". Poleni sana..kumbuka wanaume nao ni binadamu wala siyo malaika na muda mwingine wanawake ni uswahili tu.

ha ha ha ha madilika ambalo limekuhusu mengine yaache
 

Mimi hapa ICHANA ila ndo unanitoa kwenye majukumu ujue..haya umenimiss?
 
Last edited by a moderator:

I'm not attacking you at all! Don't get it twisted, iwe wewe au mwanamke mwingine yoyote huwezi kuwa na mwanaume mwenye tabia za kuvua suruali mlangoni usijue!

Au mwenye kuweka miguu mezani usijue! Maana matendo hayo yanafanyika nyumbani, ndio nimekuuliza huyo mwanaume utakuwa unakutana nae guest? Mpaka ushindwe kujua tabia zake! It might look like I was attacking you but not all!

Na kwann upaniki kiasi hicho if you got good hubby?![/QUOTE]

unajua mmekariri kila mada inatakiwa kuwa na huku wanaume kule wanawake!
kiasi huoni namna nyingine ya kujadili mada zaid ya kuchagua upande kijinsia!
ukitaka kujua mume niliyenae mbaya na mzurije why not join me?
usipate shida saaaana kujiuliza!
 
siyo mdebwedo mnachosha mwanaume kulalama uvivu tu muache hiyo tabia mbaya
saa miss chagga mi niko huku mantaa.apolojaziii...nasota miaka mbili natafta matazanite aifuu.nilikuwa mweupe mpaka nimekuwa mweusi arifuuuu....afu mchuchu ananitenga,nirudi na majasho yangu aniletee niaje.yesu wangu apite kushoto tena achape lapaa helaa ngumu
 


hahahahahah
 

Chaliii hela inatafutwa ili itumike aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…