Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Mkuu badili msimamo............

Inabidi umsome mtu ni wa aina gani ili uweze kuamua kuwa nae au la, ila kama nawewe unaenda kwake kwa lengo la kimaslahi kwa kweli utaishia kuumizwa na kutokwa povu kila siku.

wadada wengi wa mijini ndio visababishi vya majanga wanayoyaface kwenye mahusiano. Kuna mahali huwa mnakosea bila nyinyi kujua na kusukumwa na external force mnazoziendekeza.

Baadhi ya sababu ni hizi:

1. Tamaa
2. Kutokuwa muhalisia
3. Kuwa available any time ( cheap- nakupigia simu nakuita unakuja bila kutoa excuse yoyote)
4. Kutokua na mawazo tofauti na ngono, jenga urafiki sio kila tukikutana hakuana maongezi zaidi ya ngono.
5. wivu usokua na msingi.
............
..........
 

Asante kwa ushauri
 
sijaongelea pesa sana hapo mkuu kuna mengi ila najua pesa ndio itawakera wengi

pesa ni minor sana hapo kwenye hii mada ...tunataka wanaume wanaojitambua sio kulalamika like watoto.
kauli as mwanaume pia hawana,maamuzi hawawezi kufanya lolote
 
pesa ni minor sana hapo kwenye hii mada ...tunataka wanaume wanaojitambua sio kulalamika like watoto.
kauli as mwanaume pia hawana,maamuzi hawawezi kufanya lolote

ICHANA mimi nimewaona nikaona nipelekane nayohivyo hivyo pesa ni muhimu though
 
Wale wale tuu ambao wakipata mwanaume na daraja la matatzo yao wanamwamishiaaaa......
Ndo maaana kaur zao we nuna wenzio wara......
Jinga jinga.. .....
 

Asante Twin...
 

sikupotea ilikuwa namtafuta Vaislay kwenye kombe la dunia sijui alikaa upande gani...nitakuita kule mida mida..

back to topic
yaaan hzo mambo za kuvuana pichu kwa dunia hii hanipati atachoma mishaki ya panya,,,hizi sifa za extenl forces nooooo U-HB wake hautanisaidia,EMOLO or MGUU YA TOTO hatuko kwenye maonesho ndo niseme ntapata pesa,
maisha yamebadilika kila mtu anapenda good life na mwanaume mwenye kujituma
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…