Mambo usiyoyajua kuhusu B-2 stealth bomber

Jibu ni NDIO au HAPANA.
Kwa System kama S400 wataalam wanasema kwamba inaweza kudetect B2 ikiwa umbali wa 40km hii kutokana na B2 kua na RCS ndogo sana. Pia wakat huohuo B2 nayo inaweza shambuli a S400 kwa umbali Fulani(range ) kwa Stand Off Weapons kama vile AGM 88.Hyo ni kwa mujibu wa US, na Russia wao pia wanasema wanaweza itungua B2 ikiwa 40km away.
ubaya wa stealth mode ni short range missile na kuzima rada...ukiwa washa rada unakuwa Mr visible...hivo si rahisi ku over come S 400.
 
And vice versa is true.
 
vita ya urusi na marekani msitegemee kuona ivyo vitu vikirushwa,watu watakuwa bize kuangaika na silo base,submarine
 
ubaya wa stealth mode ni short range missile na kuzima rada...ukiwa washa rada unakuwa Mr visible...hivo si rahisi ku over come S 400.
Sema sijakupata mkuu ulkua unamaanisha nn hpo kwenye short range missile na kuzima radar?!, kivp?!
 
Stealth fighter zina short range missile zenye speed usually mach 8-10(for stealth reason) hivo ili zihit target inabidi zisogee katka target,Ili kulock target inabidi ziwashe radar...hapo zinakuwa visible ...most modern SAM ni long range hyper sonic up to mach 23 na zina launcher e.g. S-300, 400 zilizo na very sofiscated radar...so once you lock a target you are locked ...mach 10 vs mach 23 mbaya zaidi hata ndege husika haiponi
 
B-2 ni ndege nzuri kupiganisha na nchi kama iraq,iran,zambia,msumbiji etc,lakini kwa nchi kama russia ama china itaonekana tu kama si kwenye rada basi kupitia satelite,
tatizo la B-2 inatoka marekani kushambulia moja kwa moja na kurudi marekani,
nchi kama china ama russia wanaweza kuiona kupitia satelite tangu ikiwa imepaki uwanjani hadi inanyanyuka kuja kushambulia wanakuwa wanaimonitor na hivyo kuweza kuitungua mapema ama kutuma interceptor kudeal nayo
Haaa haaa haaa Mzee wa fix
 
Stealth fighter zina short range missile zenye speed usually mach 8-10(for stealth reason) hivo ili zihit target inabidi zisogee katka target,Ili kulock target inabidi ziwashe radar...hapo zinakuwa visible ...most modern SAM ni long range hyper sonic up to mach 23 na zina launcher e.g. S-300, 400 zilizo na very sofiscated radar...so once you lock a target you are locked ...mach 10 vs mach 23 mbaya zaidi hata ndege husika haiponi
Mkuu nahisi utakua umechanganya kidogo, si kweli kwamba Stealth fighters zina Short range missiles, HAPANA. Stealth fighters zinaweza kua armed hata na Long range missiles km vile AGM-86,Kh-101,nk. Na hyo speed uliyoitaja ya Mach 23 hakuna missile interceptor yenye speed hyo,Hzo ni speed za ICBM Mfano; Trident ya US ina speed ya Mach 24+ au Satan ya Mrusi speed yake ni Mach 23+ au M-51 ya Mfaransa ina speed ya Mach 25.Missile interceptor nying zina speed ila sio zaid ya ICBM mfano; ya S400 speed yake kubwa ni Mach 6+ ,au THAAD ni zaid ya Mach 8+.Half kumbuka rada km S400 ambayo zina VHF zinaweza kuidetect stealth aircraft ila zinakua hazina taarfa kamili km vile, mahali ilipo, umbali, speed, ni bomber au aircraft hvyo inakua ngumu kuHit hyo target.
 
Nimekupata ndugu..ila tunasoma vijarida vingi mara nyingine vinatuchanganya...any way siku ikitokea battle tutajua
 
Hahah... Yah siunajua tena kwenye hiv vijarida kila mtu anavutia kwake.
 
Teh teh teh teh, wewe ni mwongo sana.
Professor James. G. Hershberg mwanafunzi wa zamani wa Harvard University na Columbia anasema hivi.
"Over CUBA an SA-2 Missile downed a U-2, killing is pilot" - Page 80 of the Cambridge History of the Cold War, Vol 2. ( Background of the CUBAN Missile Crisis)

Sasa wewe unatuambia Soviet Union waliboresha SAM's zao mwaka 1960, lakini Professor wasomi wote wa Harvard University wanasema SA-2 au S-75 Dvina zilitengenezwa mwaka 1957, mwaka moja sawa na kutengenezwa U-2 Plane.
Tena yalifanikiwa kulipua ndege aina ya U-2 na kuua rubani wake kule nchini CUBA: Hizi taarifa ni tofauti kabisa na Propaganda zako ambazo umeziokota tokea mitandaoni kwamba WASOVYETI walikuwa hawana uwezo wa kutungua U-2 Spy Plane.

Teh teh teh teh... Halafu unaniita mimi KILAZA, kweli nyani haoni kundule.

NB: Ni hat!!!

CC: izzo , Bukyanagandi , Dotworld , herikipaji
http://www.history.com/topics/cold-war/u2-spy-incidentIMG_20170313_160518_565.JPG PicsArt_03-13-04.06.41.jpg
 
Back
Top Bottom