ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
- Thread starter
- #101
Hahahahahaha..... Alyekua anamtolea mwenzake POVU kama sio UJI ni me au ww?! Maana nakuona mtu mzima unahangaika kila siku unanijia na tuhuma mpya mara oooh nimekutusi, sijui nimekuita kilaza sijui nn. Kumbe unajitusi mwenyewe. Halafu ulivyo na akili fupi juzi eti ukaja na POVU eti siku ile ulikua umefunga kwa hyo NIKUTUKANE tena siku ambayo ulikua hujafunga,KWELI?! Mkuu naanza kupata wasiwasi na hyo elimu yako nahisi haijakusaidia, pia naanza kupata mashaka km kichwani upo SAWA. Usiku Mwema.Bwahahahahaha mkuu POVU la nini hili?
Aisee wala usihangaike kunijibu tena maana wewe unaumwa CHRONIC DYSLEXIA.
HUNA UWEZO wa kuandika vizuri na mtu akaelewa.
😀😀😀😀😀😀
.