Mambo usiyoyajua kuhusu B-2 stealth bomber

Tatizo kwenye nchi zetu hz za kiafrica kila kitu siasa embu angalia India Leo hii ilivyo baada ya miaka 10 na wao watakuja kwenye top 10 arms seller in the world.
Hatuna misuko suko mingi ya kiusalama, watu wanaweza kupata mlo bila kufanya kazi akili itoke wapi. Hatua zetu bado ziko chini akili itakuja tu baada ya raisi wa wa awamu ya 15 au 20.
 
...wakati huo huo, huku kuna njaa na ukame...hata teknolojia ya kutoa maji ardhini kwa irrigation inatushinda!..
Dah bora ukose mali upate akili..
Waafrika kama Mungu yupo kweli...basi hayupo fair, alitunyima AKILI akatupa MALI.
 
ndo
ndo maana nasema inaitajika tupimane akiri.toka lini jeshi la syria likamiliki pantsir missile?,warusi ndo wanamiliki na wao ndo wamepeleka syria kwa ajiri ya kulinda mfumo wao wa s-400.je ushawai kusikia israel ameshambulia base ya urusi pale syria?
Mkuu tatizo nashindwa kuweka link. Ningeweka ili ukajisomee mwenyewe Had Algeria wanamiliki hyo Pantisir sembuse Syria Mkuu, tena wanazo zaid ya 36.Silaha ya kujilinda ambayo mpk sasa Urusi anayo yeye mwenyewe ni S400.
IMG_20170310_135446_624.JPG
 
B-2 ni ndege nzuri kupiganisha na nchi kama iraq,iran,zambia,msumbiji etc,lakini kwa nchi kama russia ama china itaonekana tu kama si kwenye rada basi kupitia satelite,
tatizo la B-2 inatoka marekani kushambulia moja kwa moja na kurudi marekani,
nchi kama china ama russia wanaweza kuiona kupitia satelite tangu ikiwa imepaki uwanjani hadi inanyanyuka kuja kushambulia wanakuwa wanaimonitor na hivyo kuweza kuitungua mapema ama kutuma interceptor kudeal nayo
Satellite navigation technology ni technologia ya mwaka 1970 technologia hii baadhi ya nchi tayali wameshakuwa na uwezo wa kubypass technologia hii mfano nchi ya Pakistan katika project yao ijulikanayo kama PROJECT 706[1974-1983] waliweza kubypass SNT za US,UK na Israel na kufanikiwa kutengeneza bomu la nuclear bila ya dunia kujua kilichokuwa kinafanyika ndani ya jiji la islamabad kuanzia mwaka 1974-1983

Jeshi kuna aina tatu za ndege ambazo zinaingia ndani ya uwanja wa mapambano front line
1 Ndege za mizigo{cargo}
2 Fighter jet
ndege hizi mara nying zinakuwa na vitu viwil moja supersonic speed na kuwa na uwezo wa kubeba smart bombs ambazo lazima zinakuwa na mfumo wa Precision Guided munition [PGM]
3 Ni ndege zijulikanazo kama Bomber
Bomber ni ndege zenye kuweza kubeba mzingo mkubwa [payload] wa vilipuzi mabomu lakini mabomu hayo yanakuwa hayana mfumo wa PGM

Ndege ambayo mkuu ze kokuyo anaizungumzia ni ndege aina ya Bomber lakini ndege za bomber zipo nying tu mfano B52 lakini kinachoifanya B2 spirit ambayo imetengezezwa na kampuni ya Northrop Grumman kuwa tofauti na zingine ni technologia yake ya[ STEALTH]

STEALTH si ndege kama watu wanavyojua stealth ni technologia ambayo inawekwa kwenye ndege ambapo huwezesha ndege kutoonekana kwenye rada

kumbuka Technology ya rada imegunduliwa kwenye miaka 1930 so kumekuwa na mabadiliko ya technologia hii miaka na miaka
hili rada iweze kuona ndege huwa inascan anga na kurudisha kitu kinachoitwa Electromagnetic pulse [EMP] ambazo zinakuwa translated kwenye radio waves kupitia hizo radio waves inaweza kugundua umbali ,sehemu na ukubwa wa kitu kama ndege ,meli na mabomu au makombora yanaweza kuwa detect na rada sasa technologia hii ya Stealth ndio inaweza kuidanganya rada au kuzuia hizo electromagnetic pulse ambazo zinatumwa kwenye rada station

Zipo aina mbili za stealth technology

1 Ni aina ya mikunjo au mikato ya ndege {Cutting Edge]
hii technology cutting Edge ndio inatumika sana kwenye ndege za fighter kama F-35 LIGHTING II yani kifupi zile ndege au jets wanazosema hazionekani kwenye rada hii cutting Edge inadanganya rada vitu viwili

[A) Rada haiwezi kujua ni kitu gani kinakuja {kumbuka kwenye rada ni vitu vyote vilivyo angani vinaonekana so watashindwa kujua aidha ni ndege ya raia ,jeshi au drone so inawachanganya wakuwa hawawezi kushambulia kitu wasichokuwa na 100% sure ni kitu gani

[B) Rada haiwezi kujua umbali halisi wa hicho wanachokiona {kumbuka rada inatoa umbali,sehemu kilipo na ukubwa wa kitu]

2 Ni mchanganyiko wa rangi na material mbalimbali {ambayo mpaka sasa ni top secret na mwenye technologia hii ni kampuni ya Northrop Grumman ambayo ndio watengenezaji wa hii B-2 Spirit na technology hii ya kuchanganya rangi na material ni tofauti na technology ya Cutting Edge ambayo inafanya vitu nilivyovitaja hapo juu hii ni NOTHING TO DISPLAY kwenye rada yani kifupi uwezi kuona kitu kwenye rada

Tuje kwenye B-2 Spirit ndege hii inazo technologia zote mbili za stealth ikiwamo technologia ya Cutting Edge na hii ya kuchanganya rangi na material mbalimbali ambayo ndio inaifanya dege hili kutokuonekana kwenye rada na limeshakwenda sehemu mbalimbali duniani kufanya mission ikiwamo Russia bila ya kuonekana na kurudi salama US

MALCOM LUMUMBA
 
You can imagine how sophisticated the system is.

1. Wakiyapanga na kuyafanyia final inspection:
3D06830300000578-0-image-a-28_1486689435495.jpg

2. Hapa ni ready to go, ili kuondoa roho za adui!!
gallery-1486416299-screen-shot-2017-02-06-at-42308-pm.png

3. Hapa, B-2 likiyadondosha. But pamoja na kuyadondosha yako guided with GPS or Laser Guided Missile Technology ambapo probability ya kutua kwenye target nikaribia moja i.e., P(k) is almost 1.

us-b-2-bomber.jpg
 
Satellite navigation technology ni technologia ya mwaka 1970 technologia hii baadhi ya nchi tayali wameshakuwa na uwezo wa kubypass technologia hii mfano nchi ya Pakistan katika project yao ijulikanayo kama PROJECT 706[1974-1983] waliweza kubypass SNT za US,UK na Israel na kufanikiwa kutengeneza bomu la nuclear bila ya dunia kujua kilichokuwa kinafanyika ndani ya jiji la islamabad kuanzia mwaka 1974-1983

Jeshi kuna aina tatu za ndege ambazo zinaingia ndani ya uwanja wa mapambano front line
1 Ndege za mizigo{cargo}
2 Fighter jet
ndege hizi mara nying zinakuwa na vitu viwil moja supersonic speed na kuwa na uwezo wa kubeba smart bombs ambazo lazima zinakuwa na mfumo wa Precision Guided munition [PGM]
3 Ni ndege zijulikanazo kama Bomber
Bomber ni ndege zenye kuweza kubeba mzingo mkubwa [payload] wa vilipuzi mabomu lakini mabomu hayo yanakuwa hayana mfumo wa PGM

Ndege ambayo mkuu ze kokuyo anaizungumzia ni ndege aina ya Bomber lakini ndege za bomber zipo nying tu mfano B52 lakini kinachoifanya B2 spirit ambayo imetengezezwa na kampuni ya Northrop Grumman kuwa tofauti na zingine ni technologia yake ya[ STEALTH]

STEALTH si ndege kama watu wanavyojua stealth ni technologia ambayo inakwekwa kwenye ndege ambapo huwezesha ndege kutoonekana kwenye rada

kumbuka Technology ya rada imegunduliwa mwaka 1930 so imekuwa na mabadiliko ya technologia hii miaka na miaka
hili rada iweze kuona ndege huwa inascan anga na kurudisha kitu kinachoitwa Electromagnetic pulse [EMP] ambazo zinakuwa translated kwenye radio waves kupitia hizo radio waves inaweza kugundua umbali ,sehemu na ukubwa wa kitu kama ndege ,meli na mabomu au makombora yanaweza kuwa detect na rada sasa technologia hii ya Stealth ndio inaweza kuidanganya rada au kuzuia hizo electromagnetic pulse ambazo zinatumwa kwenye rada station

Stealth hii technology inapatikana kwenye aina mbili
1 Ni aina ya mikunjo au mikato ya ndege {Cutting Edge]
hii technology cutting Edge ndio inatumika sana kwenye ndege za fighter kama F-35 LIGHTING II yani kifupi zile ndege au jets wanazosema hazionekani kwenye rada hii cutting Edge inadanganya rada vitu viwili

rada haiwezi kujua ni kitu gani kinakuja {kumbuka kwenye rada ni vitu vyote vilivyo angani vinaonekana so watashindwa kujua aidha ni ndege ya raia ,jeshi au drone so inawachanganya so hawawezi kushambulia kitu wasichokuwa na 100% sure ni kitu gani

[ii] Rada haiwezi kujua umbali halisi wa hicho wanachokiona {kumbuka rada inatoa umbali,sehemu na ukubwa wa kitu]

2 Ni mchanganyiko wa rangi na material mbalimbali {ambayo mpaka sasa ni top secret na mwenye technologia hii ni kampuni ya Northrop Grumman ambayo ndio watengenezaji wa hii B-2 Spirit na technology hii ya kuchanganya rangi na material ni tofauti na technology ya Cutting Edge ambayo inafanya vitu nilivyovitaja hapo juu hii ni NOTHING TO DISPLAY kwenye rada yani kifupi uwezi kuona kitu kwenye rada

Tuje kwenye B-2 Spirit ndege hii inazo technologia zote mbili za stealth ikiwamo technologia ya Cutting Edge na hii ya kuchanganya rangi na material mbalimbali ambayo ndio inaifanya dege hili kutokuonekana kwenye rada na limeshakwenda sehemu mbalimbali duniani kufanya mission ikiwamo Russia bila ya kuonekana na kurudi salama US

MALCOM LUMUMBA

Mkuu Asante sana maana umenipunguzia mzigo mzito. Kiufupi rada inaweza kudetect stealth lkn inakua haina taarifa kamili juu ya hicho kitu ilichokiona mfano; kipo umbali gan, mahali can, kinatembea kwa speed can, ni fighter au ni bomber. Sasa kama unakua hauna taarifa zote hizo ni ngumu kukidestroy hcho kitu hata km ukirusha kombora linaharibu vp kitu ambacho halikioni.
 
Mkuu tatizo nashindwa kuweka link. Ningeweka ili ukajisomee mwenyewe Had Algeria wanamiliki hyo Pantisir sembuse Syria Mkuu, tena wanazo zaid ya 36.Silaha ya kujilinda ambayo mpk sasa Urusi anayo yeye mwenyewe ni S400.View attachment 479050
naona mkuu kinachokuchangany ni lugha,algera wame order iyo pantsir na bado haijawa derived.urusi wenyew wameanza kutumia 2012 kwenye jeshi lake.
 
ni systerm mpya ndo maan kwenye iyo link yako ukifungua wanakwambia wanahisi kuwa pantsir ilidungua ndege ya turkey ila awana uwakika kuwa syria muda uwo wslikuwa wanaoperate uwo mtambo
 
Satellite navigation technology ni technologia ya mwaka 1970 technologia hii baadhi ya nchi tayali wameshakuwa na uwezo wa kubypass technologia hii mfano nchi ya Pakistan katika project yao ijulikanayo kama PROJECT 706[1974-1983] waliweza kubypass SNT za US,UK na Israel na kufanikiwa kutengeneza bomu la nuclear bila ya dunia kujua kilichokuwa kinafanyika ndani ya jiji la islamabad kuanzia mwaka 1974-1983

Jeshi kuna aina tatu za ndege ambazo zinaingia ndani ya uwanja wa mapambano front line
1 Ndege za mizigo{cargo}
2 Fighter jet
ndege hizi mara nying zinakuwa na vitu viwil moja supersonic speed na kuwa na uwezo wa kubeba smart bombs ambazo lazima zinakuwa na mfumo wa Precision Guided munition [PGM]
3 Ni ndege zijulikanazo kama Bomber
Bomber ni ndege zenye kuweza kubeba mzingo mkubwa [payload] wa vilipuzi mabomu lakini mabomu hayo yanakuwa hayana mfumo wa PGM

Ndege ambayo mkuu ze kokuyo anaizungumzia ni ndege aina ya Bomber lakini ndege za bomber zipo nying tu mfano B52 lakini kinachoifanya B2 spirit ambayo imetengezezwa na kampuni ya Northrop Grumman kuwa tofauti na zingine ni technologia yake ya[ STEALTH]

STEALTH si ndege kama watu wanavyojua stealth ni technologia ambayo inakwekwa kwenye ndege ambapo huwezesha ndege kutoonekana kwenye rada

kumbuka Technology ya rada imegunduliwa mwaka 1930 so imekuwa na mabadiliko ya technologia hii miaka na miaka
hili rada iweze kuona ndege huwa inascan anga na kurudisha kitu kinachoitwa Electromagnetic pulse [EMP] ambazo zinakuwa translated kwenye radio waves kupitia hizo radio waves inaweza kugundua umbali ,sehemu na ukubwa wa kitu kama ndege ,meli na mabomu au makombora yanaweza kuwa detect na rada sasa technologia hii ya Stealth ndio inaweza kuidanganya rada au kuzuia hizo electromagnetic pulse ambazo zinatumwa kwenye rada station

Stealth hii technology inapatikana kwenye aina mbili
1 Ni aina ya mikunjo au mikato ya ndege {Cutting Edge]
hii technology cutting Edge ndio inatumika sana kwenye ndege za fighter kama F-35 LIGHTING II yani kifupi zile ndege au jets wanazosema hazionekani kwenye rada hii cutting Edge inadanganya rada vitu viwili

[A) Rada haiwezi kujua ni kitu gani kinakuja {kumbuka kwenye rada ni vitu vyote vilivyo angani vinaonekana so watashindwa kujua aidha ni ndege ya raia ,jeshi au drone so inawachanganya so hawawezi kushambulia kitu wasichokuwa na 100% sure ni kitu gani

[B) Rada haiwezi kujua umbali halisi wa hicho wanachokiona {kumbuka rada inatoa umbali,sehemu na ukubwa wa kitu]

2 Ni mchanganyiko wa rangi na material mbalimbali {ambayo mpaka sasa ni top secret na mwenye technologia hii ni kampuni ya Northrop Grumman ambayo ndio watengenezaji wa hii B-2 Spirit na technology hii ya kuchanganya rangi na material ni tofauti na technology ya Cutting Edge ambayo inafanya vitu nilivyovitaja hapo juu hii ni NOTHING TO DISPLAY kwenye rada yani kifupi uwezi kuona kitu kwenye rada

Tuje kwenye B-2 Spirit ndege hii inazo technologia zote mbili za stealth ikiwamo technologia ya Cutting Edge na hii ya kuchanganya rangi na material mbalimbali ambayo ndio inaifanya dege hili kutokuonekana kwenye rada na limeshakwenda sehemu mbalimbali duniani kufanya mission ikiwamo Russia bila ya kuonekana na kurudi salama US

MALCOM LUMUMBA[/i]

Hahahahaha,
Mkuu Izzo kila siku nikisoma mabandiko yako moyo wangu huwa unafarahi sana.
Lazima nipate kitu kipya na pili unajua kupangalia mambo vizuri sana tena kwa lugha ya Kiswahili.
Hii ni dhahiri kwamba unajua unachokisema. Hongera sana na Barikiwa sana kwa hili na Barikiwa sana kwa kutoa Elimu bure.
 
naona mkuu kinachokuchangany ni lugha,algera wame order iyo pantsir na bado haijawa derived.urusi wenyew wameanza kutumia 2012 kwenye jeshi lake.
vinichanganye vitu vingine kwa kweli ila sio lugha tena lugha yenyewe hii ya Malkia. Embu jarbu kupitia ile link niliyokuwekea kwanza.
 
na kumbuka pantsir ni short missile ni ngumu kupambana na ndege kama B-2,F-35 au F-22 maana ni short range missile.hii kazi yake ni kuzuiya makombola yasipige mfumo wa long range missile kama s-400
 
Bwana ze kokuyo siku ile Ulinitukana nikakuangalia tu kwasababu niliona nikikujibu nitaharibu mfungo wangu, leo sijfunga nangoja unitukane tena uone.
😀😀😀😀
imenibid nicheke kwa kweli, kwa hyo ndo kilichokuleta au?!. Half sikia tangu nianze kuingia JF sijawahi tukana mtu.Ila km unataka kutukana wewe tukana tu mkuu Me npo ntakujibu maana kwenye hzo ligi hata me nipo.
 
na kumbuka pantsir ni short missile ni ngumu kupambana na ndege kama B-2,F-35 au F-22 maana ni short range missile.hii kazi yake ni kuzuiya makombola yasipige mfumo wa long range missile kama s-400
Pia mkuu kumbuka Israel hana B2 wala F22 Ana F16 na F15.
 
Back
Top Bottom