mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,571
- 23,671
kumb
kumbuka hata iyo s400 inalindwa na short range missile kama vile pantsir 1.warusi sio wajinga nduguDhumuni la Marekani kuiendeleza stealth technology na mpk Leo kuna B2 bomber ni kwamba aende kumshambulia adui bila ya adui kumwona au kujua.Hvyo B2 inaweza kwenda kushambulia mfano Iran bila ya Iran kujua kama kuna B2 katika anga yao ndo maana mrusi nae Ana project yake ya kutengeneza stealth bomber kama B2(inaitwa PAK-DA) ili aweze kushambulia bila kuonekana na adui. Ukisema urushe kombora(mfano; Kh-555)kutoka kwenye hyo Tu-160 kumbuka USA Ana bases nyingi na mifumo kibao ya kuzuia makombora katika eneo hilo na sasa hv south korea hvyo bila shaka hilo kombora litatunguliwa kabla hata halijaona hata anga ya US. NDO maana sasa hv unaona nchi nyingi zimeanza kuwekeza sana kwenye stealth tec kuanzia China, Russia, India, Japan, Turkey, South Korea, nk.
PAK-DA ya Mrusi hyo hpo chini![]()
![]()
bado ipo under development.