Mambo tisa kuhusu wewe

Mambo tisa kuhusu wewe

1.Nimeipend kama ninavyokupenda
umepuuzia pale nilipoacha "a" kwenye kupenda.
 
Kwikwikwikwi social engineering ,huyu hachelewi kuGuess paswedi zetu

Try n'error mpk Acc inafungwa lol
 
Kuna mambo 9 ninayajua
kukuhusu wewe...
1.Unaisoma hii joke yangu.
2.Huwezi kugusa meno
yako yote kwa ulimi wako.
4.Umejaribu kuyagusa.
5.Unacheka/umetabasam.
6.Hujagundua kama
nimeiruka namba 3.
7.Umerudia kuangalia kati
ya 2 na 4
8.Umeipenda hii joke
9.Utaidharau kama hujaipenda

Kama jina lako yaani excellent!
 
Back
Top Bottom