Mambo tisa kuhusu wewe

Mambo tisa kuhusu wewe

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,367
Kuna mambo 9 ninayajua
kukuhusu wewe...
1.Unaisoma hii joke yangu.
2.Huwezi kugusa meno
yako yote kwa ulimi wako.
4.Umejaribu kuyagusa.
5.Unacheka/umetabasam.
6.Hujagundua kama
nimeiruka namba 3.
7.Umerudia kuangalia kati
ya 2 na 4
8.Umeipenda hii joke
9.Utaidharau kama hujaipenda
 
Umeifaulisha wikend yangu ulipoiacha namba 3 nikajua unaheshimu jina la mkweo ha ha haahha haa
 
Step zote hapo zimenigusa isipokua no. 9
 
Ha ha! Hongera utafikiri uliandika baada ya mimi kufanya hivyo umenipatia
 
Kuna mambo 9 ninayajua
kukuhusu wewe...
1.Unaisoma hii joke yangu.
2.Huwezi kugusa meno
yako yote kwa ulimi wako.
4.Umejaribu kuyagusa.
5.Unacheka/umetabasam.
6.Hujagundua kama
nimeiruka namba 3.
7.Umerudia kuangalia kati
ya 2 na 4
8.Umeipenda hii joke
9.Utaidharau kama hujaipenda

umekosa yote
 
Back
Top Bottom