Mambo muhimu kuzingatia..

1. Hakikisha unapoongea na simu unatumia sikio la kushoto
2.Usinywe dawa na maji baridi
3. Usile heavy meals baada ya saa kumi na moja jioni
4. Wakati simu yako imeisha charge na kubaki bar moja, usipokee simu yoyote utakayopigiwa kwa sababu simu inapoisha charge kama hivyo, radiation is 1000 times stronger.

Ahsante Dokta Boflo
 
Last edited by a moderator:
Dokta Mzizi Mkavu ameamua kumuachia Mikoba Dokta Boflo.

a3200357-65-traditional-zulu-witchdoctor-blackpeoplesoutafrica.jpg
 
Last edited by a moderator:
1. Hakikisha unapoongea na simu unatumia sikio la kushoto
2.Usinywe dawa na maji baridi
3. Usile heavy meals baada ya saa kumi na moja jioni
4. Wakati simu yako imeisha charge na kubaki bar moja, usipokee simu yoyote utakayopigiwa kwa sababu simu inapoisha charge kama hivyo, radiation is 1000 times stronger.

Kuhusu kula heavy food,mimi nilishauriwa na daktari nile mwisho saa tisa jioni(na nimezingatia),aliniambia kuwa usiku mwili haufanyi kazi na viungo vyote vimepumzika kwa hiyo chakula utakachokula hakitatumika badala yake mwili utakihifadhi kwa mfumo wa mafuta na ndio sababu kubwa ya kuongezeka uzito.
 
Back
Top Bottom