Mambo muhimu ili ufanikiwe katika maisha

All in all, connection, katika dunia ya sasa hicho ndo kitu muhimu....mjini ukikosa connection utasumbuka Hadi maiti yako kutolewa mortuary, na eneo la kuzikiwa pia utapata kwenye maporomoko mvua ikinyesha kaburi lako linasombwa... CONNECTION!
Ndio bahati ya kukutana na watu watakao ku connect na mambo ya msingi. Wapo ambao ndugu zao wapo kwenye nafasi nzuri ila hawataki kuwa connect.
 
Hata mchezo wa mpira kuna maujanja, ni kwa vile tu hujui. Wewe amini maisha ni "mchezo" na mafanikio ni Siri ya mtu. Kuna mtu kalima eka Moja ya mahindi na nwenzake jirani kalima eka Moja.

Kila mtu alitumia utaalamu wa kutosha na udongo ni uleule. Mmoja akavuna gunia 10 mwingine gunia 1. Kumbuka hakuna aliyefanya uzembe.

Hapo Kuna nini? Unaweza ukawa mchezaji mzuri ila kila ukicheza unaona mipira miwili na unapiga ule mpira fake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio bahati au nyota yako kung'aa kuzid wengine.
 
Aaa mkuu.. yaani pengine kuna sehemu unapata tabu na shida nyingi ila kuna sehemu unatafutwa ukawe MFALME.. daah maisha haya wewe acha tu
Nabii hakubaliki kwao, tafuta sehemu ambayo thamani yako itaonekana. Ndio maana wanashauri tuwe tunasafiri sehemu mbalimbali, husaidia kukua kiaikili, kimtazamo nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom