Mambo mengine bana siyo kabisa!!

Mambo mengine bana siyo kabisa!!

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
748
Mzee mmoja wa Kihaya alivamiwa nyumbani kwake Bukoba usiku wa manane, badala ya kupiga 911 wamsaidie yeye akapiga simu Marekani eti anauliza:
Halloo Mutalemwa! Ni nani anavunja geti languu hapo njee!!:shocked::shocked:
 
Back
Top Bottom