Mambo mengi ya kujifunza kwenye mlipuko wa Beirut

Watu wa maandiko naomba tusaidiane hili andiko je mlipuko wa Lebanon ni ukamilifu wa neno la Nabii Zekaria kama alivyo andika
Zekaria 11:1-3
Ifungue milango yako ee Lebanon
Ili moto uiteketeze mierezi yako
Piga kelele msonubari maana mwerezi umeanguka
Sababu hii mti yote mizuri imeharibika


3-kwa maana utukufu wako umeharika
Sauti na ngurumo ya wanasimba na kiburi chako kimeharika

Na zab 29:3 sauti ya bwana yaivunja vunja mierezi ya lebanon
Bwana airusha rusha lebanoni kama ndama..


Twaweza jadili pamoja wakristo na waislam
 
Mabeberu wanahusika kwa hili%

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tatizo lenu kila uzembe /tatizo linalo wakuta lazima msingizie mabeberu!!! Wewe chukua hiyo ammonium nitrates ifungie chumbani kwako, halafu usifuate taratibu za kuihifadhi, au ipate chanzo cha moto tu, ndio utajua huyo beberu ameingiaje ndani kwako na kuilipua kama utakuwa hai!!! Ammonium nitrate kama haitapata chanzo cha moto au kuhifadhiwa vibaya haiwezi kulipuka tu.
 
Back
Top Bottom