Blood Hurricane
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,175
- 305
Maneno kuntu kwa hisani ya Jingalao,ni ukweli usiopingika Magufuli amerudisha misingi ya CCM kwa sasa.
Aanze na Katibu Mkuu wenu.
Maneno kuntu kwa hisani ya Jingalao,ni ukweli usiopingika Magufuli amerudisha misingi ya CCM kwa sasa.
Katika yote niliyoyataja hapo juu..mengi yalitokea kabla Magufuli hajawa RaisJingalao ktk mazingira na katiba hii tulionayo inategemea kuona nini kwa CDM ?! wakati usiku na mchana Maghufuli na serikali yake wanahakikisha CDM haifanyi siasa isipokuwa yeye tu.
Unapambana na mtu mliyemfunga miguu na mikono kisha unajiona boxer ?! Aibu kwa uongozi huu wa kufikirika. Weka mazingira ya ushindani sawa kisha urudi utambe hapa. Ccm bila police na jeshi haipo niamini.
Misingi ilisombwa na gharika gani?Simple...CCM imerudia misingi yake ..!
Shida yenu mkiambiwa ukweli mnasema eti anachochea chuki.Taifa linaenda mrama kiongozi anachochea chuki Zanzibar hapakaliki
Kumbe mafisadi walikuwa CCM nadhani ndio wamesababisha janga la mzunguko wa pesa. Mahskama ya mafisadi inawahusuKuna mafisadi waliokuwa wanajimilikisha chama sasa wamenyooshwa na kufurushwa
Siyo jibu weka uwanja huru, Tume huru, Katiba ya wananzengo halafu use hapa kifua mbele. Wacha kutegemea vyombo vya dola halafu uje utambe hapa vinginevyo ilinganishe Ccm yenyewe kwa yenyewe cz hamtaki ushindani ulio sawa.Katika yote niliyoyataja hapo juu..mengi yalitokea kabla Magufuli hajawa Rais
Kwani bado ni mwana CCM? Mpelekeni kwenye mahakama yenu ya mafisadi lakini nasikia mnamtaka malaikaWaliongozwa na mgombea wenu...usisahau
Uchambuzi murua ingawa utawatibua bavicha.Habari zenu wadau!
Niende kwenye mada moja kwa moja...
Inasemekana kuwa Chadema ni moja ya Chama ambacho kilipoanzishwa kiliogopewa sana hata na hayati mwalimu Nyerere...
Wakileta fyokofyoko, ametoa dakika tanoZanzibar pako shwari na watalii wanamiminika !
Well said 100%.Siyo jibu weka uwanja huru, Tume huru, Katiba ya wananzengo halafu use hapa kifua mbele. Wacha kutegemea vyombo vya dola halafu uje utambe hapa vinginevyo ilinganishe Ccm yenyewe kwa yenyewe cz hamtaki ushindani ulio sawa.
Si MNA ushaidi na vielelezo vyote,mpelekeni mahakani..jadi yenu fisiem kuropoka ropoka.sijui mnafikiri kwa kutumia kinyeleo.Waliongozwa na mgombea wenu...usisahau