Mambo madogo yanaanza kua mkubwa kidogo kidogo

Mambo madogo yanaanza kua mkubwa kidogo kidogo

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,819
Reaction score
3,088
Wanayotaka wananch wasikilizwe kabla hali haijawa mbaya tuna nafas kubwa sasa ya kubadilisha hali hii
 

Attachments

  • Screenshot_20260127_223556_Instagram.jpg
    Screenshot_20260127_223556_Instagram.jpg
    81 KB · Views: 6
Watanzania tuna kawaida ya kuchukulia vitu SIMPLE. Hii taarifa ikishika HEADLINE itakuwa ni hatari.

Itaamsha mawazo ambayo raia hawakuwa nayo kabisa, (Case study Mo29)

Hizi sio dalili njema, Serikali ilichukulie uzito ili taarifa isisambae sana.

Enyi masikio ya kufa(Watawala), zibukeni muisikie hii Dawa.

Anyways, tuombe iwe ni MIKWARA tu.



View: https://youtu.be/tHkpbD5p1mM?si=3UZjmDqUMyYmjmDe
 
Ndo Padre kitime kakianzisha? Msije tu mkaanza tena kuja kujilizaliza mitandaoni.

Maana nyie nyumbu msio na akili mnachostahili ni kupigwa risasi tu.

Nyumbu siku zote ni chakula cha mamba na mtaendelea kuliwa.
 
Watakaoleta machafuko ni mafisadi na majizi ,na hao mafisadi mapapa mapiga dili na majizi..ndiyo yatakayoanzisha vikundi vya machafuko..msidanganyike .
 
Back
Top Bottom