makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,371
- 3,670
Ukimwi je ? Au ndio upo chini ila magonjwa ya zinaa yapo juu ?Hayo magonjwa yanaletwa mjini na wanawake wanaoenda kujiuza uko visiwani kunakovuliwa samaki na dagaa.Kuna visiwa vinaitwa Ikuza na meisome kuna visonono vyakutosha.