Mambo kumi usiyoyajua kuhusiana na bar zenye guest

Moro ni komesha ya wazinzi wooteee kutoka dar mmezoea dar kulambalamba huku mnalambwa nyie teh teh big up kwa dada mrefu mweupe aliyefanya kazi ya kuiba lap top 3,simu blackbery ya mil 5.5,mapete ya 2.5m,mabegi ya nguo,usd 4000 na ukweli hakuna kilichokamatwa ni porojo urojo!!!
 
mkuu yote 9 kumi ni hyo no 10 hao wako juu awaogopi wakuu wa sirikali kabisa
 
kuna sehemu banana wanaita ukanda wa gaza kuna mabaa kbao hapo ni sodoma na gomora ucku
 
Mkuu hapo panaitwa renana, hiyo makalio bar anayoitaja t.c.u ipo karibu na njaki fuel station.
Hapo wale ma barmad sijui wanawapata wapi na wanagawa kama kawaida
Kuna jamaa yangu kawala nusu ya ma barmad wa hiyo bar
 
C.T.U labda uniambie UWANJA WA FISI sio baa nitakuelewa vinginevyo pale ndio pana ongoza kwa...
Vyangu doa wa bei rais zaidi, hadi sh 500 unapata huduma
Nyama za bei rahisi zaidi, pande la uhakika
Gest za bei rahisi zaidi chumba hadi sh 500 short time
Huduma za "wahaya" kwa buku yako moja unapata huduma
Huduma ya mabanda ya film ni xxx mwanzo mwisho kwa sh 200 tu
Bei za bia ni chee tena exported
Usalama ni sifuri, timeyoyote "watoto wa mbwa wanakula kichwa"
Huduma zote hizo ni masaa 24/7 na katika list hiyo swala la viwango halijazingatiwa kabisa.
I think it sappose to be in your list

Mkuu mbona kipindi cha nyuma kidogo tulitangaziwa hili eneo limefungwa na kusambaratishwa? Au ilikuwaje!
 
Vp kuhusu sugar ray?
Sugar ray ime base sana watu wa maeneo hayo ya temeke
Ila hayo maeneo mengine kama buguruni na sehemu nyinine imebabe watu wote wa jiji kuanzia watoa huduma hadi wateja wao
 
Massage parlour mkuu umezisahau,wanatoa huduma zote!wahindi,somali na waarabu wapi wanapatikana kwa urahisi?
 
Hapo wale ma barmad sijui wanawapata wapi na wanagawa kama kawaida
Kuna jamaa yangu kawala nusu ya ma barmad wa hiyo bar
MNAENDEKEZA NGONO mtakufa muwaache watoto wenu wakitaabika! Vuta pumzi uzinzi ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom