Mambo gani unamfanyia mpenzi wako ili asikukimbie? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo gani unamfanyia mpenzi wako ili asikukimbie?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ndevu mbili, Dec 27, 2011.

 1. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  habari!
  Oooooppppsss!
  Nmeona jamaa anamuuliza mpendwa wake amuelezee chochote anachohitaji ili atekeleze!
  Hivi ni kitu gani kwako ndio kivutio kwa mpenzi wako ili atulie nawe !
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Namwambia hawezi pata mwingine kama mimi.
   
 3. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ubunifu kuwa tofaut kidogo
   
 4. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 547
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  hii haitoshi piga sana mechi pale 6*6 hadi akojoe bao 4 hivi kisha ukiona anakuambia cjawai kukojoleshwa kiasi hiki ila ww noma hapo ujue haruki tena sana sana atajaribu kwingine ataona wanampa shombo 2
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  hapa parefu, sipawezi.
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160

  ...lol.....Lizzy weee!
  hahaha
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Kinachonifaa mimi sio lazima kikufae wewe.
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Hahahaha!!Sasa kwani uongo Mbu?
   
 9. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ....ntakununulia vitz sweat wangu!
   
 10. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,636
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Woord!...maana hata vitu utavyomuonesha vinaweza kufanana na kwa wengine lakini style ya utolewaji ikawa tofauti..
   
 11. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,636
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Jamaani mbona unamuita sweat sasa...ni sweetie au sweetheart!...

  *Sweat-ni jasho.
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mpenzi kumkimbia mwenzake ni hulka na tamaa i.e Kwa mwanaume ni tamaa za mwili ila kwa mdada ni BOTH Mwili na Maisha mazuri.
  Kwangu mi silazimishi Akikimbia poa tu ntapata mwenye mapenzi ya Dhati.
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  huwa hili swali linaniumiza sana kichwa na mwisho wa siku na mwambia tu kama unaendelea na mimi poa kama hutaki nendaga tu kwanini ujinyime kwa sababu yangu wakati hunipendi..
   
 14. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,890
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  I like your psychological thinking. It is good hata kama ni mimi nitatulia na wewe baada ya kauli kama hii. Very creative.
   
 15. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,289
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  mtu akiwa kicheche hata apewe ti.. atatoka na wengine. Ni khulka ya mtu, wengine wanapenda kuchovya tu waonje kila pahali. Na kwa w'ke pia, tamaa na umalaya. Ni kuomba Mungu upate mwenye mapenzi ya kweli atoridhika na ww kwa kila hali
   
 16. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hichi ni kina kirefu sikiwezi
   
 17. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,260
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimetanguliza mguu naona sikanyagi chini, nikatafta fimbo sijagusa kabisa chini,
  parefu sana hapa,
   
 18. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 547
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  kuna mwanamke yyte asipagawa na satisfaction?
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Waulize unaowafahamu, nadhani wao wataelewa swali.
   
 20. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usimfanyie ili eti asitoke au asikukimbie,No.
  Mfanyie kwa sababu tu ni mpenzi wako na daima anastahili kilicho bora kutoka kwako.

  Mambo ya kufanya kitu ili kumkeep mtu huwa mara nyingi yanasukumwa na kitu fulani mfano uchumi n.k mtu anatoa mapenzi kinafiki huku kichwani anajua mwenyewe sababu ya kweli ya kujitoa kwenye mapenzi ni nini.
   
Loading...