Mambo gani unamfanyia mpenzi wako ili asikukimbie?

hii haitoshi piga sana mechi pale 6*6 hadi akojoe bao 4 hivi kisha ukiona anakuambia cjawai kukojoleshwa kiasi hiki ila ww noma hapo ujue haruki tena sana sana atajaribu kwingine ataona wanampa shombo 2

Kama ulikuwepo vile kwenye jando. Hii ndo tekniki kubwa haswa kwa sisi tunaoishi mbali na viburudisho vyetu.Inatakiwa kila unapokutana na mahabuba wako unavunja rekodi uliyojiwekea jana yake kwa kumpagawisha! Sasa atake NINI,NANI zaidi?
 
Usimfanyie ili eti asitoke au asikukimbie,No.
Mfanyie kwa sababu tu ni mpenzi wako na daima anastahili kilicho bora kutoka kwako.

Mambo ya kufanya kitu ili kumkeep mtu huwa mara nyingi yanasukumwa na kitu fulani mfano uchumi n.k mtu anatoa mapenzi kinafiki huku kichwani anajua mwenyewe sababu ya kweli ya kujitoa kwenye mapenzi ni nini.
kbs ndugu yangu ww fanya kwa mapenzi 2, mambo yakufanya et ili umkeep huyo mpenzio hakunaga kbs.
uko ni kuentertain stress jaman. play party yako vzr kama ipo ipo 2, na kama haipo loh hata ummpe tigo, voda, cjui zantel anakuacha.
 
mimi nimemfanya aamini mimi ni zaidi ya wote kwani nimeweza kumfikisha pale alipostahili kimapenzi kupitia njia zote za msingi...nimegusa sehemu zake zote za muhimu katika mapenzi yetu hakuna ngeni iliyoyahalali sijaihusisha katika penzi letu!ndomaana hajanikimbia!
 
Dah, i note it!
hii haitoshi piga sana mechi pale 6*6 hadi akojoe bao 4 hivi kisha ukiona anakuambia cjawai kukojoleshwa kiasi hiki ila ww noma hapo ujue haruki tena sana sana atajaribu kwingine ataona wanampa shombo 2
 
Mweh,
kaz ipo
Kama ulikuwepo vile kwenye jando. Hii ndo tekniki kubwa haswa kwa sisi tunaoishi mbali na viburudisho vyetu.Inatakiwa kila unapokutana na mahabuba wako unavunja rekodi uliyojiwekea jana yake kwa kumpagawisha! Sasa atake NINI,NANI zaidi?
 
Kama hakuna penzi la kweli hata umnunulie New York hatokaa kamwe.
 
Heee!!Sorry am under 18, nxt 8yrs i will contribute.
 
habari!
Oooooppppsss!
Nmeona jamaa anamuuliza mpendwa wake amuelezee chochote anachohitaji ili atekeleze!
Hivi ni kitu gani kwako ndio kivutio kwa mpenzi wako ili atulie nawe !

Mfanyie hayo kwa kuwa unamjali na unampenda na ana thamani kwako
haya mambo ya kumfanyia ili abaki ni kupoteza muda
Maana unaweza kumfanyia kila kitu na bado akakuacha
fanya kile kilicho ndani ya uwezo wako kwa kuwa unampenda na kumjali na ni mtu wako wa karibu
Usilazimishe kupendwa kwa kutumia madhaifu au vitu ambavyo kwa wakati huo havina thamani katika au vina thamani ila haviwezi kulinganishwa na upendo
 
Usimfanyie ili eti asitoke au asikukimbie,No.
Mfanyie kwa sababu tu ni mpenzi wako na daima anastahili kilicho bora kutoka kwako.

Mambo ya kufanya kitu ili kumkeep mtu huwa mara nyingi yanasukumwa na kitu fulani mfano uchumi n.k mtu anatoa mapenzi kinafiki huku kichwani anajua mwenyewe sababu ya kweli ya kujitoa kwenye mapenzi ni nini.

Umeugusa mtima wangu..!!

Mengine yote mbwembwe...
Do it 4 love..
Thanxs much 4 ur comment..
Imeniongezea ujasiri wa kusonga mbele..
Kama ipo ipo tu..
like u..
 
Last edited by a moderator:
hii haitoshi piga sana mechi pale 6*6 hadi akojoe bao 4 hivi kisha ukiona anakuambia cjawai kukojoleshwa kiasi hiki ila ww noma hapo ujue haruki tena sana sana atajaribu kwingine ataona wanampa shombo 2

Gonga wakati huna pesa! kwani yy hapendi iphone au kwenda ku-pick items supermkt au kutembea akiwa amekaa na full ac?? mademu hawana 4mula man!
 
Duh heshima ma2nzo kumjali kwa ujumla sema akiwa kicheche hata ufanyaje wa2 watakumegea 2
 
Hua nachezea sana kisim na kuzidisha kufanya kitu ambacho huonekana kufurahia.
 
nlipokua Arusha sikuamin mambo nlofanyiwa....duh nlihudumiwa kila kitu...kumbe unalipia baadae!.
 
mimi nimemfanya aamini mimi ni zaidi ya wote kwani nimeweza kumfikisha pale alipostahili kimapenzi kupitia njia zote za msingi...nimegusa sehemu zake zote za muhimu katika mapenzi yetu hakuna ngeni iliyoyahalali sijaihusisha katika penzi letu!ndomaana hajanikimbia!

Acha kujisifia wanao kufaham watakunyakia kampenz kako ubaki unalia kibwege ooho!?
 
Back
Top Bottom