Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

ha ha ha, bad girl. Hadi unajua ilotonesheka mpango mzima? Weee mbaya sana.

Ila nimecheka, maana ukweli wa kiongo ongo.

af tena ile ilokuwa imetonesheka sana wakati ilipokatwa ndo huwa nzuri zaid............
mie soseji na viepe kwangu sio msosi yaani ukikuta wanakula dona samaki, na nyanya chungu............na kila jion ya wkend ndizi za kuchoma kwa supu ya mkia na zoezi muhimu sana swimming lol!!
 
ha ha ha ha, yapi hayo?

ivi ushawah kwenda sehem ukajikuta uko out of place kabisa??
ukaanza kushangaa hadi ukajishtukia kwamba unashangaa peke yako na kwamba wenyeji wako poa tu wanaona kaawaida??

mie ayo ndo staki, manake vijana wa siku izi tu wanaadventure zao seuze hapo akina boyz 2 men wangu watakapokuwa vijana?? si ndo nitakuta nashangaa mwenyewe?
 
ivi wewe ulishawah kushangaa kitu ambacho hutakiwii kushangaa??
mfano...........ulishawah kwenda mahal ukajikuta uko out of place kabisa wakati wenyeji wao wako poa tuu??
ukajikuta unashangaa mwenyewe hadi unajistukia??

mie hayo siyawez kwakweli acha akafanyie kwingine akija kwangu wanakuja kusalimia na kuondoka mpera wakapigane kwao

Ha ha haaa uzazi kaziii!!!!!
Ati "mpera"
 
ha ha ha, bad girl. Hadi unajua ilotonesheka mpango mzima? Weee mbaya sana.

Ila nimecheka, maana ukweli wa kiongo ongo.

hahahahahahhaha...............yaani sasa mamito unategemea kwa umri huu sijui nyama ya sehem gani tamu??
ama ngombe gani nyama yake tamu??
ukiwa mlaji lazima utajua vyakula gani vitam atleast kwa taste yako
 
Mxiiii we bure sana! !!!!

santeeee..............
maisha yamebadilika na maana za maneno zimebadilika

zaman ukisema tia unajua unaambiwa umimine kitu sehem fulan leo hii ukiambiwa tia unajua ni umimine manii ukeni umeona tofauti hapo?
 
Ha ha haaaa we kweli akili inawasha!!!
 
Back
Top Bottom