Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

well said Nigga...............
but ukweli mie napenda mwanaume msaidiaji yaani hata kama asinisaidie kazi but wakati nazifanya basi akae pemben awe ananipigia stori tunacheka pamoja nk yaani huwa hata kama hajaomba lazima nitampa tu..........

Hivyo hivyooo....pale ukitaka ka-massage ndo anamaliza na mengine moja kwa moja..hadi rahaaa..
 
OLESAIDIMU yaani wewe unaona taboo ni kuosha vyombo??
moping je?? mmh...............ungekua unaosha na mie ungeosha tu na wala usingeona kama ni tabu manake tunakua sote kwenye sink huku tukipiga stori na mimi nakua nimeomba unipe msaada lol!!
 
Last edited by a moderator:

umeanza Heart kajisemeapo ukweli lol!!

af tena unakuta muda anakupigisha story umemvesha kajikhanga tu wewe unakuwa una monitor signal lolest!!!!!!!!!!

watu washafungulia ngoja nikae kimya
 
Ha ha aaaa moping huku mziki unanguruma shida nini??!
Weka detergent kidogo au tile cleaner na foma ya maji kwa mbali hii hainipi shida asilani!!!

Nikikubali hapo ujue zoezi halitaisha salama hakyanani
 
Aaanh nasema tena vyombo vitatelekezwa tuuuuu, as well inaweza dawa ikanywewa bila "shake well" huko huko jikoni bureeeeee!!!!!
 
risk sustained lol!!!
tena wafanya mzaha nikiwa nimekuvesha khanga..............ili nimonite signals!!!!!!!
 
Aaanh nasema tena vyombo vitatelekezwa tuuuuu, as well inaweza dawa ikanywewa bila "shake well" huko huko jikoni bureeeeee!!!!!

unafkiri utatelekeza???

mwenyewe utaona raha ya kuvimaliza kwanza...................af ukute kidos wako bize.................ukifikia kwa kusugua sufuria unamtanguliza kwa b/rum wewe unazuga na kumalizia kumbe unajua hii ni gia tuu ukienda utakuta tayari turubali lishasimamishwa .....................

ivi kaka unakumbukaga yale maturubai ya zamani yale??
yale ambayo yalikuwa yanasimamishwaga na mtii mmoja tu kati af pembeni yanafungwa tu sijui kwenye chuma ama mti??
unakumbuka vizuri?? basi ndo unategemea ukakute kalitengeneza na kijikanga chake lol!!
 
We huna maana mwili mzima!!!!!
Lile bhana usipoweka chupa kule juu mti ukitoboa tu mmefunikwaaa!!!!!
 
ewaaaa.................hilo hilo sasa unaonaje ukalikuta limetengenezwa kwa rum na kitu softtttttt kisoweza kutoboa????

yaani ukifika tuuu wafanya kujidumbukiza lol!!!
 
Back
Top Bottom