Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

Acha kuzunguka m buyu. Kitu cha kufanya kumpata mwanamke yeyote duniani awe mpenzi wako ni kidogo tu i.e " CARE " Care ndio kila kitu baba,mpe care ya dhati mwanamke yeyote mkubwa/mdogo. Wewe penda kujua mambo na shida zake. Make her business your business, utakuja kuniambia mwenyewe. Yote ulio andika hapo yanaingia kwenye hlo neno moja " CARE " other things remain constant baaaaas. Mengne mbwembwe tu. Kama hujawavua chupi ovyo sio mkubwa wala mdogo na wengne utawakimbia we mwenyewe.
Kwani ugomvi kaka? mia
 
Nimekubaliana na ww kwa hizo pts,but iliyokubwa kuliko zote na ambayo ww hujaiandika ni pale kwe uwanja wa 6 kwa 6,ukiwa mzembe utachepukwa mapema sana kama alishawahi kukutana na mzee wa kazi.
 
Swali nje kidogo ya mada, Hivi mwanamke anapokuwa ameingia kwenye mahusiano mapya inamchukua muda gani kuweza kumpenda sana mwanaume, maana huwa nasikia wao huwa wanachelewa kidogo kupandisha graph ya kupenda though kashamkubalia mwanaume.
 
I don't think, if there's a defined or predetermined length of time or amount of effort necessary for a girl to give you a yes.

From a woman's perspective, though, we don't say yes immediately, as we want to make sure that we are making the right decision.

Being in a relationship is a serious thing; hence, no one should engage in it halfheartedly. If a woman sees that you have genuine intention, and that she's really into you, then she will say yes even if you think you haven't given your best effort yet .
 
I don't think there's a defined or predetermined length of time or amount of effort necessary for a girl to give you a yes.

Ohooo thank you chief for your response
 
Nimekuelewa sana
 
Back
Top Bottom