Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

Kuosha vyombo,jamani yani kuna BAADHI ya wanaume kufanya kazi ndo ndogo kama hizo wanaona kama sijui watakua GAY? wengine utaskia mtoto wa kiume hatakiwi kuingia jikoni,napenda mtu anaependa kusaidia vikazi vidogo vidogo lakini mh!
kwa makabila mengine ni laana kwa mwanamume kuingia jikoni asee
 
mwenye masikio watasikia na wenye macho wataelewa........
if u love someone love as u will never love again

note :tambua moyo wa mtu kiza kinene waweza fanya yooote na ukaachwa

kweli kabisaa
 
Ahsante kwa somo zuuriii....umesahau kipengele cha kusikilizana bila kuchoka,kuna mwingine akisikia mpenzi wake anmuhadithia jambo lililomkera whether la ofisini kwake au home kichwani atasema 'Here we go again' hadi uso unabadilika kwa kuboreka.... Not good!
Kupeana Moyo na mawazo ni wajibu wetu kwa wenza wetu...hata kama you don't know much about what he's/she's talking about..
 
Back
Top Bottom