Nmekuja kwa spidi kupata ujuzi kumbe kuna ufyoro tu apa
Ukwel ndo huo most of girls kama hatujakupenda , hunijali, huniheshimu, huna decision making in life, 6*6 , hunifikish Mount Kilimanjaro heeeee uuuups hela yako italika sana na siku ya mwisho unapigwa chini
Yafuatayo ni mambo matano muhimu ya kumfanyia mpenzi wako ili akupende kwa dhati, hebu jaribu kisha utanipa mrejesho:
1. Mpe hela
2. Mpe hela
3. We mpe hela
4. Nakwambia mpe hela
5. We mpe hela tu utaona.
Poor thnkng capacity pamoja na kuxema money inatake place ktk love lkn sio khvyo k2 kumgegeda vzr ndcho ktakachpfanya ackuaxhe.