uuuupsi pesa ndo nini?? kuna vitu muhimu zadi kwenye mapenz na sio pesa
ina maana wenye wapenz ya dhati wanahonga pesa???
ukitoa pesa afu huwezi kugegeda atakupenda???
ukitoa pesa huna upendo always unampiga atakupenda?
ukampa pesa zako hizo za mawazo wakati huwezi kuact like father of house atakupenda?
akahonga afu hujijui wewe ni mwanaume halis or mwanaume suruali atakupenda???
hujui kna watu wamehonga nyumba..viwanja..,magari ferrari,lexus, verosa na acount no wakatoa na bado wakaachwa????
na kuna ambao hawajaonga chochote zaid ya kujua na kuishi maisha ya upendo na wanadumu kwnye mapenzi ya furaha hadi leo??