Mambo 4 ya kufanya mwanamke akupende

Mambo 4 ya kufanya mwanamke akupende

Hahahha ninamoyo mmoja tu siwez kuwapenda wote
Na kazi ya huo moyo ni kusukuma damu tu, hayo mengineyo usihubebeshe yasivyo vyake. .
Achana na hii kitu wanaita hisia au penzi, has no formula at all.
 
Na kazi ya huo moyo ni kusukuma damu tu, hayo mengineyo usihubebeshe yasivyo vyake. .
Achana na hii kitu wanaita hisia au penzi, has no formula at all.
Haina formula lakini wallah ukipata mtu sahihi utaona duniani mko nyie tu

Mapenzi na hisia sio mbaya sema walengwa au wahusika ndio wabaya
 
Think first then talk smart, bro.
Unajua fedha baadhi ya sehemu haifanyi kazi na utakuja amini haya
siku ukisha-ipata.Nasema hiyvo kwasababu naijua hela na nimetumia vya kutosha so kuna baadhi ya sehemu hazitaki hela

Imeandikwa " Fedha ni jawabu la mambo yote"
Rejea ktk Biblia Takatifu !
Mpaka Mungu ameruhusu Hilo Neno liandikwe usifanye mchezo
 
yote hayo nimeyafanya nikagundua nimekosa herufi nne tuu ambazo kila mwanamke anazipenda PESA
Unaweza ukawa huna pesa lakini mtu akakupenda vile unavomtreat, yan you always there for her/him, unamcare had inapendeza hela haina nafas kabisa, tatizo hamjiamini na mshakariri hivo ndio mana iko kichwani mwenu, labda tuchukulie mfano mpenzi wako ameishiwa vocha ya jero tu na anajua huna pesa, kiustaarab ungemwambia labda love natamani nikusaidie hiyo vocha lakini nina hali mbaya mpenzi yan kama mm unanambia hivo utanifanya nikupende zaidi at least u care na at least nimeona umejikaza bwana
 
Hamna la maana hapo toa pesa na kitombo tu nyingine mbwe mbwe
 
Habari Wana wa JF.Natumai muko sawa,

Leo nashukuru Mungu kuchukua fursa hii kwa mara nyengine tena kuwaelezea kile ninachokifahamu katika maisha.Nimekuja na mambo manne ukiwa nayo mwanamke atakupenda na utamfanya mkeo awe na furaha.

1.KUWA NA HESHIMA.
Heshima inasababisha mwanamke kukupenda kwasababu utapokuwa na heshima una-epukana na dhararu na wanawake karibuni wote hawapendi kudharauliwa.Heshima ni miongoni mwa kumsikiliza mtu,kutoongea nae kwa maneno machafu,kutompiga pasi na sababu,kutofanya vitu ambavyo yeye havipendi,kuonesha unajali kwake n.k.

2.KUDHIHIRISHA UPENDO
Unapoishi onesha kwamba una upendo na kila mtu,kwasababu mwanamke anahitaji amani na maelewano.Unapokuwa na sura pamoja na moyo wa upendo kila mtu anavutika nawe na anakupenda sio mwanamke tu peke yake, na wala watu hawatokuchoka.

3.KUWA MWEREVU
Hutakiwi kuwa mjinga mbele ya jamii.Unatakiwa kuishi ki-professional.Kwa sababu mwanamke anajivunia sana anapokuwa na mwanamume mwenye busara,anahisi ni wato-fauti.Jaribu kuwa mkimya usiwe unaongea ovyo,kuwa mtaratibu na usiwe unakimbilia kutoa hukumu kabla ya kufikiri.
Fikiria kwanza,Ongea maneno madhubuti. Mimi binafsi, kwenye miaka kama 5 iliyopita kuna mtu alikuwa anapenda sana kuniambia maneno haya "I like the way you are".

4.KUWA NA UVUMILIVU
Wanawake ni watu wenye vituko sana.Na muda mwengine huwa ni kama tabia kwao wanapokuwa wanaumwa ama wana stress zao tu ki-kawaida.Sasa unatakiwa ufahamu kwamba wewe ni mwanamume unatakiwa kuvumilia na hivyo vituko na maudhi yote hayo.Unatakiwa kuwa mkimya na uweze kudhibiti hasira zako.Mwachie mtu mpaka ajitambue mwenyewe kama ana makosa.

Kujifunza tabia hizi utakuwa umeuteka moyo wa mwanamke
UMESAHAU #PESA#
 
Tafuta pesa utapendwa mshamba wewe!
 
Ila pamoja na kuwa na pesa bado ktk mambo yote kunapaswa kuwa na kiasi!
Kuna watu wanapesa lakini hawana Raha ktk nafsi zao, wengine wagonjwa, n.k
Maisha Ili kuyafurahia ni zaidi ya kuwa na pesa!
 
Kuna wanawake wanaume zao wa ndoa wanahela nyingi lakini hawana amani, mwanaume mwingine Malaya mbwa (money source of Evil)!
Mungu azidi kutunusuru na mabaya!
Bora kuwa na kiasi !
 
Mwanaume akiwa makini /mwangalifu na Mwenye kujiamini na mchapa kazi huwa inapendeza sana!
Mfano akiendesha Gari anakuwa makini na mwangalifu haendeshi hovyo!
 
Siku nikipata nafasi nitaanzisha mada ya malezi !
Jamii imekuwa ikilea watoto wakiume Kwa kuwa exempt na baadhi ya majukumu/shughuli Za nyumbani !
Hali hii imefanya baadhi ya wanaume kuwa wazembe flani, kuwa wasahaulifu, hali ya kupoteza vitu Hata awapo safarini, kuwa na uzito flani ktk kureact n.k
 
Mlee mwanao asiwe mzigo Kwa wengine popote atakapokuwa Hata shuleni n.k
Mfundishe kujitegemea !
Watoto wa kiume na wakike wafundishwe kufanya kazi zote Za nyumbani bila kujali jinsia zao!
 
Hahahha!! Nimesoma comments zilizopo hapa zinafurahisha kweli. Nimeishia kuhitimisha tu miafrika bado mipumbafuu sana, hata haijui msingi wa ndoa ni nini na kwa mindset hizi mtaachana sana.

Mleta mada hongera, kwa mwenyewe akili amekuelewa.
 
Back
Top Bottom