amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
My dear unaniudhii sana money is not everything
Tafuta hela jomba!!
Hizo zingine mbwembwe tu
Tafuta hela jomba!!
Hizo zingine mbwembwe tu
Mungu tu ndiye anayewaelewa ninyi viumbeMwanaume ajue kujiongeza ajue kujitoa, akuheshim, akupende, akuthamini, akujali, akupe muda wake (itaingia hukohuko kwenye kujali)ajue kuvumilia awe na upeo mkubwa wa kufikiri nadhani huyu kwangu ana kila sababu ya kumpenda
Hakuna mapenzi ya kweli nowdays watu wana act tu so mkuu pambana na hali yakoSiwezi kubadilisha maamuzi yako, kaka.
Ila mimi nahisi,ukiwa unajua kama kuna mtu anakupenda kwa dhati.Basi unahisi tofauti na utakuwa na furaha isiyo-isha.

Inavyooonekana umependa na mtu uliyempenda anaonyesha anakupenda kweli( my guess) ila jua kuwa HAWATABIRIKI .Viumbe hawa:Think first then talk smart, bro.
Unajua fedha baadhi ya sehemu haifanyi kazi na utakuja amini haya
siku ukisha-ipata.Nasema hiyvo kwasababu naijua hela na nimetumia vya kutosha so kuna baadhi ya sehemu hazitaki hela
Mbona kama ni hivyo.Mimi binafsi tayari nishapata watu waliokuwa wakinipenda kweli ila baadhi yao moyo haukuruhusu kuwapenda tu? Ila walikuwa tayari kwa lolote?Na mimi sijawahi kupata mwanamke anayependa pesa sana ki hivyoHakuna mapenzi ya kweli nowdays watu wana act tu so mkuu pambana na hali yako![]()