Mwanaume ajue kujiongeza ajue kujitoa, akuheshim, akupende, akuthamini, akujali, akupe muda wake (itaingia hukohuko kwenye kujali)ajue kuvumilia awe na upeo mkubwa wa kufikiri nadhani huyu kwangu ana kila sababu ya kumpenda
Yaani binadamu tuna demand mambo makubwa kwa binadamu wenzetu kuzidi hata yule aliyemuumba huyo binadamu.Mwanaume ajue kujiongeza ajue kujitoa, akuheshim, akupende, akuthamini, akujali, akupe muda wake (itaingia hukohuko kwenye kujali)ajue kuvumilia awe na upeo mkubwa wa kufikiri nadhani huyu kwangu ana kila sababu ya kumpenda
Unajisahaulisha eehDuuuhhh nawish i could be
Unakuta unataka yote hayo, wakati ww ni poyoyo.Mwanaume ajue kujiongeza ajue kujitoa, akuheshim, akupende, akuthamini, akujali, akupe muda wake (itaingia hukohuko kwenye kujali)ajue kuvumilia awe na upeo mkubwa wa kufikiri nadhani huyu kwangu ana kila sababu ya kumpenda
Ndioooo