R. Amazon discharges to the sea an average of 209,000 cubic meters/sec! More than the next 7 world's largest rivers combined!
Let's put this into perspective; F1B nilifundishwa density of water (of course pure water) ni 1000g/ltr. That means, 1000ltrs (i.e. 1 cubic meter) of water equal to 1 ton. Kwa maana hiyo R. Amazon unamwaga baharini tani 209,000 za maji kwa sekunde! You got it?
Iko hivi, kuna zile semi-trela zina uwezo wa kubeba tani 50 if fully loaded. Kwa maana hiyo 209,000/50 = 4,180 ni idadi ya semi ambazo zingepaswa kubeba maji yanayomwagwa baharini na R. Amazon kwa sekunde moja! You got it?
Iko hivi, zile semi zina urefu wastani wa mita 15 so, semi 4,180 x 15 = 62,700m = 62.700km. Yaani itahitajika msafara wa semi wenye urefu wa km 62.7 (kama kutoka Ubungo Dar to Chalinze along Morogoro Road; kwa wastani wa kuacha nafasi ya mita 15 kati ya gari na gari kama sheria ya mizani inavyotaka) zikiwa zimebeba shehena ya maji yanayomwagwa baharini na The Amazon for just one second! Kwa dakika, lisaa, wiki, mwezi, mwaka, zinamwagwa tani ngapi? Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Amen.