Mambo 20 ya kipekee usiyoyajua kuhusu Tanga

Kuhamia Tanga ni kama kuingia kwenye ulimwengu wa mahaba tulivu, ambapo kila siku inaanza kwa tabasamu na salamu zenye ukarimu uliotukuka.

Mji huu umepambwa kwa hewa safi ya bahari inayobeba manukato ya marashi ya karafuu, mdalasini, na upepo mwanana unaoamsha hisia za amani ya moyo.

Tofauti na hekaheka za majiji makubwa, maisha ya Tanga yanasafiri kwa mwendo wa unyenyekevu na utulivu mkubwa;
hakuna haraka wala fujo, ni mwendo wa madaha unaompa mwanadamu nafasi ya kuvuta pumzi na kufurahia uzuri wa maisha.

Watu wa huko wameumbwa kwa lugha laini, adabu ya asili, na mioyo iliyo wazi kuwakaribisha wageni, ukarimu unaokufanya ujisikie umekumbatiwa na kupendwa tangu siku yako ya kwanza unayokanyaga ardhi hiyo ya dhati.

Kutafuta makazi au kujishughulisha kiuchumi mjini Tanga ni safari ya kuridhisha isiyo na migogoro ya nafsi, kwani gharama za maisha zimekaa kwa namna ya kirafiki inayomlinda mtafutaji.

Chakula cha sokoni ni cha mboga safi na samaki wa jioni waliovuliwa kwa upendo, vyote vikipatikana kwa bei nafuu inayokupa amani ya mfuko na afya ya mwili.
Unapopita kwenye mitaa tulivu kama Raskazone, Chumbageni, au Bombo—iwe kwa baiskeli au bajaji—unakutana na mpangilio mzuri wa mji unaoleta ladha ya usalama na faraja
.
Fursa za kibiashara zilizopo kwenye maeneo ya utalii kama misitu ya Magoroto, fukwe za Pangani, au kupitia mzunguko wa bandari, zote zimekaa kama mwaliko wa kimahaba wa kujenga mustakabali imara kwenye ardhi yenye baraka na utulivu wa kudumu.

Retired
Panaweza kufaa kwa uwekezaje wa Retirement Homes?
 
  1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara – Tanga (1893).
  2. Shule ya Kwanza ya Sekondari ya Serikali – Tanga (1890) (Tanga Old School).
  3. Shule ya Kwanza kabisa (ya Anglikana) nchini Tanzania – Magila, Muheza, Tanga (1848).
  4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani – Ubwari, Muheza, Tanga (1949).
  5. Hospitali ya Kwanza ya Kisasa – Tanga, Cliff Block (1895).
  6. Hoteli ya Kwanza ya Kifahari na ya Kisasa nchini Tanzania – Tanga, Kaiserhof Hotel (1906).
  7. Shamba la Kwanza la Katani barani Afrika – Pangani, Tanga (1900).
  8. Nembo ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetokana na msukumo wa Mashamba ya Katani ya Tanga, kwani zao hilo lilichangia zaidi ya 60% ya Pato la Taifa (GDP).
  9. Tanga lilikuwa jiji la kwanza kuwa Manispaa mnamo mwaka 1891.
  10. Tanga ilikuwa na soko la kwanza la kisasa nchini Tanzania – Soko la Uzunguni la mwaka 1903.
  11. Risasi ya kwanza ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia barani Afrika ilifyatuliwa mkoani Tanga – Novemba 1913.
  12. Tanga ilikuwa na kanisa la kwanza nchini Tanzania – Magila Msalabani, Muheza (miaka ya 1840).
  13. Tanga ilitoa mchungaji wa kwanza mzawa (wa Kilutheri) nchini Tanzania, Jacob Lumwe (1880 - 1970).
  14. Zaidi ya 95% ya kata za Jiji la Tanga zina upatikanaji wa maji safi na salama, na kulifanya kuwa jiji pekee nchini lenye takwimu hiyo.
  15. Tanga ina mfumo wa zamani zaidi wa majitaka unaofanya kazi hadi sasa katika ukanda wa Afrika Mashariki.
  16. Tanga inashikilia rekodi ya kuwa jiji lililopangwa vizuri zaidi (lenye mpangilio mzuri wa mitaa) katika Afrika Mashariki.
  17. Tanga inashikilia rekodi ya kuwa na maktaba ya kwanza ya umma nchini Tanzania (miaka ya 1950).
  18. Tanga ina mtambo wa kwanza wa kufua umeme kwa nguvu ya maji (hydroelectric) nchini Tanzania tangu mwaka 1905 kule Amani, Muheza.
  19. Bandari ya Tanga ndiyo bandari kongwe zaidi inayofanya kazi kwa muda mrefu zaidi katika Afrika Mashariki.
  20. Tanga ina mnara wa saa wa zamani zaidi nchini Tanzania (na pengine barani Afrika) uliojengwa mwaka 1901.

Shule Yetu ya Tanga,
Maarufu Tanzania,
Tangu enzi Jerumani sifa zee,
Zimeenea imekuwa nyota,
Utumwani kututoa Tanga shule sifaa,
Nani asiyejua? twaipenda shule yetu twaipenda nchi yetu.
Mungu tusaidie kutimize wajibu wetu.

Wasalimie Kwa njeka na Makorora yote.
 
  1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara – Tanga (1893).
  2. Shule ya Kwanza ya Sekondari ya Serikali – Tanga (1890) (Tanga Old School).
  3. Shule ya Kwanza kabisa (ya Anglikana) nchini Tanzania – Magila, Muheza, Tanga (1848).
  4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani – Ubwari, Muheza, Tanga (1949).
  5. Hospitali ya Kwanza ya Kisasa – Tanga, Cliff Block (1895).
  6. Hoteli ya Kwanza ya Kifahari na ya Kisasa nchini Tanzania – Tanga, Kaiserhof Hotel (1906).
  7. Shamba la Kwanza la Katani barani Afrika – Pangani, Tanga (1900).
  8. Nembo ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetokana na msukumo wa Mashamba ya Katani ya Tanga, kwani zao hilo lilichangia zaidi ya 60% ya Pato la Taifa (GDP).
  9. Tanga lilikuwa jiji la kwanza kuwa Manispaa mnamo mwaka 1891.
  10. Tanga ilikuwa na soko la kwanza la kisasa nchini Tanzania – Soko la Uzunguni la mwaka 1903.
  11. Risasi ya kwanza ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia barani Afrika ilifyatuliwa mkoani Tanga – Novemba 1913.
  12. Tanga ilikuwa na kanisa la kwanza nchini Tanzania – Magila Msalabani, Muheza (miaka ya 1840).
  13. Tanga ilitoa mchungaji wa kwanza mzawa (wa Kilutheri) nchini Tanzania, Jacob Lumwe (1880 - 1970).
  14. Zaidi ya 95% ya kata za Jiji la Tanga zina upatikanaji wa maji safi na salama, na kulifanya kuwa jiji pekee nchini lenye takwimu hiyo.
  15. Tanga ina mfumo wa zamani zaidi wa majitaka unaofanya kazi hadi sasa katika ukanda wa Afrika Mashariki.
  16. Tanga inashikilia rekodi ya kuwa jiji lililopangwa vizuri zaidi (lenye mpangilio mzuri wa mitaa) katika Afrika Mashariki.
  17. Tanga inashikilia rekodi ya kuwa na maktaba ya kwanza ya umma nchini Tanzania (miaka ya 1950).
  18. Tanga ina mtambo wa kwanza wa kufua umeme kwa nguvu ya maji (hydroelectric) nchini Tanzania tangu mwaka 1905 kule Amani, Muheza.
  19. Bandari ya Tanga ndiyo bandari kongwe zaidi inayofanya kazi kwa muda mrefu zaidi katika Afrika Mashariki.
  20. Tanga ina mnara wa saa wa zamani zaidi nchini Tanzania (na pengine barani Afrika) uliojengwa mwaka 1901.
Pamoja na yote haya ila mkoa wa Tanga bado maendeleo yake ni duni sanaa
 
Jamani tanga kwa wadigo wanawake wao wanajua kutomberna hao....sii mchezo. Itakuwa mwanamke wa kwanza kujua mboroooo alitokea tanga
 
Back
Top Bottom