Mambo 10 yaliyopo Ulaya, hasa hasa Sweden, pengine kwako ni mageni, na ungependa kuyafahamu

Una maana gani wazungu kwanza,wahindi wanafuata,kwenye Nchi ipi ?
Hapa Sweden inategemea na jitihada yako.Kiongozi wa Chama cha Upinzani Liberals Sweden ni mwanamke mweusi Nyamko Sabuni.Ambaye awali alishawahi kuwa waziri kwenye serikali iliyopita.
Kuna weusi wengi kwenye post mbalimbali za juu.Ni bidii na uwezo wako tu.Ukiwa na mawazo defeats na inferiority complex kufanikiwa ni ngumu sana.
Waafrika siku zote wapo chini huko, na watabaki hivyo daima. Hawana nguvu yoyote ya maana ya kisiasa kwenye jamii. Wanabebwa na sheria tu ambazo hazibagui, lakini Wazungu wanawabagua kila kukicha and you are always outsiders and always discriminated against, more so in the private sphere. And you feel it everyday you wake up. Huo ndiyo ukweli. Hata Wakimbizi wa Kiarabu Kutoka Syria na Iraq wanathaminiwa kuliko Waafrika sababu ya ngozi yao.
 
Nauliza kuwa kama unasomea Masters huko unaweza kupata kazi za muda wakati pia ukiendelea na masomo yako?. Pili kuna uwezekano mtu akabaki huko na kupata uraia na kuanza maisha yake mapya?. Tatu mshahara wa Mfamasia mwenye Masters ni kiasi gani?.
 
Kuna MTU Yuko Nje akiniuliza nalipa Ada SHS ngapi Kwa chuo akanijibu kweli MNA hela fedha yote hiyo unalipa chuo tena cha Serikali?. Wenzetu kipaumbele kikubwa kiko kwenye afya na elimu.
Itakuwa hayuko Marekani huyo. Uko kuna majimbo ambayo ukilipa mkopo wa elimu ya juu unaweza staafu hujaumaliza ukaja katwa kwenye pension. Yani wana rates za hatari ukichelewa na elimu yao ni gharama mno
 
Red light district (RLD), Amsterdam hiyo na miji mingine mingi ya Ulaya. Yaani unapita unachagua chombo kama imekuvutia. Unatimba ghetoni kwake. Huku nyuma anarudishia pazia kuziba vile vioo kuonyesha yuko engaged, unatoa Uero 30 kwa dakika 20 mchezo umeisha ha ha ha ha ha. Naikumbuka sana RLD za Ghent, watoto kutoka Ulaya ya Mashariki na West Africa, hao bei ya kawaida sana.
77k tsh kwa dkk 20..hapa bongo unachukua watatu siku nzima.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeishi hapa miaka 30 nina kazi nzuri inayoniwezesha kuishi vizuri.Mke wangu ni Nurse baada ya kusoma hapa. My first born ni jurist(lawyer).Amezaliwa hapa na kukulia hapa. Huo ubaguzi unaousema upo duniani kote kwa viwango tofauti lakini sio sababu ya kuzima ndoto zako za kufanikiwa kimaisha.Kuwakatisha tamaa watu kwa kisingizio cha ubaguzi ni lame excuse ambayo itamkwamisha anayekubali kukwamishwa.
 
Hamna hela zaidi ya kuosha vyoo na kufagia mkuu. Maisha yakikushinda unaenda kuomba benefits. UDSM bora wangeanzisha degree program ya Janitorial Sciences kuwaanda vijana kuikabili hali ya soko la ajira Ulaya kama wakiamua kuzamia huko.
Aisee kwa nini unapotosha kwa makusudi?

Kwamba hakuna madreva, hakuna manesi, hakuna wanaofanyakazi super market, hakuna wanaofanyakazi Mac donald, hakuna watangazaji, hakuna wahazili vyuo vikuu, yani hadi Mzee Mwanakijiji naye anaosha vyoo?

Hii siyo sawa na haipendezi kukandia Wabongo wenzanko huku ukijuwa fursa ni nyingi kwa wenzentu, hapo sijaongelea offshore, sijagusa wavuna matunda mashambani Spain huko, achilia mbali fishing boat hasa Alaska, n:k.
 
Aisee kwa nini unapotosha kwa makusudi?

Kwamba hakuna madreva, hakuna manesi, hakuna wanaofanyakazi super market, hakuna wanaofanyakazi Mac donald, hakuna watangazaji, hakuna wahazili vyuo vikuu, yani hadi Mzee Mwanakijiji naye anaosha vyoo?

Hii siyo sawa na haipendezi kukandia Wabongo wenzanko huku ukijuwa fursa ni nyingi kwa wenzentu, hapo sijaongelea offshore, sijagusa Wa
Hujakosea, hizo ndiyo kazi za kawaida kwa Wahamiaji kutoka Tanzania. Lakini Ulaya , na specially Scandianiva ambapo kuna huge language barrier to overcome, plus hawathamini sana elimu za nchi nje ya Ulaya na north America, hali ni ngumu zaidi.
 
Language barrier ipo kwa wavivu wa kusoma.Vyeti vyako kama unavyo wana validate na kama ni udaktari unapewa muda wa kupata licence ya udaktari (legitimation)ambayo ni lazima kwa udaktari na ualimu na haijalishi wewe ni mswedish wa kuzaliwa au umehamia.Ukiwa na cheti kutoka chuo linachotambuliwa kinakubalika.Haijalishi ni Africa ,Ulaya au Marekani.Wacha kuamini hearsay na hadithi za kuambiwa.
Kama umezoea short cuts hapa sio sehemu ya kusoma au kuishi.Kama una bidii ya kusoma basi ndio sehemu ya kuishi.
 
Language barrier ipo kwa wavivu wa kusoma.Vyeti vyako kama unavyo wana validate na kama ni udaktari unapewa muda wa kupata licence ya udaktari (legitimation)ambayo ni lazima kwa udaktari na ualimu na haijalishi wewe ni mswedish wa kuzaliwa au umehamia.Ukiwa na cheti kutoka chuo linachotambuliwa kinakubalika.Haijalishi ni Africa ,Ulaya au Marekani.Wacha kuamini hearsay na hadithi za kuambiwa.
Kama umezoea short cuts hapa sio sehemu ya kusoma au kuishi.Kama una bidii ya kusoma basi ndio sehemu ya kuishi.

Ni mwendo wa kupiga kitabu mwaisa hakuna kuogopa level kwa level hadi kieleweke
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kuna wakati sijui huwa mnafanya matani au mko serious mimi sijui, ila vitu vidogo sana kama air ticket si unacheck tu mwenyewe online kwa air liners?

Ni jambo la kushangaza kidogo ukiwa mtumiaji wa internet ushindwe kupata mwenyewe data rahisi kama nauli.

By the way kwenda Sweden unatakiwa kuomba viza ubalozini kwao, vigezo na masharti pia vinapatikana online.
Mkuu wala siyo utani, hii generatiin ya saivi ya vijana wa kibongo inastaajabisha sana. Yaani kuna vitu wanauliza hadi unabaki mdomo wazi. Na ndio taifa la Kesho hilo.
 
Mkuu uko swideni mtaa gani mi niko hapa karibia na hapa karibia na soko kuu
 
Chumba chakupanga single bei gani mkuu nitokee
Ha ha haa, inategemea na mji Mkuu. Range kwa single room ni kaunzia 1M - 2.5M kwa mwezi. Accommodation ni miongoni mwa vitu expensive zaidi, siyo Sweden tu, ila karibia nchi nyingi za Ulaya.
 
Sawa. Lakini ukubali kuwa wa mwisho kwenye jamii. Wazungu kwanza, Waasia wanafuata na wengineo, wewe Muafrika upo chini. Utakula, utashiba, shule bure, matibabu bure maisha yatasonga
Hata ukiwa bongo Huku bado utakua wa mwisho maana daraja la kwanza ni ccm na familia zao
 
Ngachoka 😁 Yani Nauli Ndo Room,Tena Single?
Hapo Sijala,Sijajua Naishije,Bado Nna Kamba Mguuni,Bado Pia Nawaza Kula Tunda La Kizungu (Joke) 😁😁

Acha Niendelee Kuteseka Hapa Kishumundu Kwetu.
Mkuu usikate tamaa.Penye nia ya dhati na mipango kila kitu kinawezekana.
 
Back
Top Bottom