Mambo 10 yanayokuchelewesha maishani

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,596
15,393
1: Ubishi na ujuaji. ( Undevelopable mindset)


2: Kung'ang'ania kukaa sehemu hiyohiyo hata kama mambo yamegoma.

3: Kufunguka. Kutaka kila mtu ajue wewe ni nani na unanini.


4: Kulakula hovyo bila mpango.

5: Marafiki wengi ambao hawana mchango kwenye fyucha yako.

6: Kuwa na connection legelege na Muumbaji wako.

7: Kutaka kujua sana mambo ya watu badala ya kujijua/Kujitafuta wewe.
8: Kukoswa shukrani kwa kidogo ulicho nacho.

9: Kuhisi kukwama kwako ni matokeo ya kurogwa au laana.

10: Kusubiri hadi uwe na kila kitu ndio huanze kupiga hatua.


Ni hayo tu.

Source: mimi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom