Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,010
- 142,686
Is that so...?
Usikubali kuandikiwa au kuambiwa "kanuni" za jinsi ya kuishi maisha yako, EPUKA KUKARIRI, KUKARIRI SIO DILI.
LOL umetishaUkizingatia ayo ndo unaruhusiwa kufikisha 29 au
I hear that.
......brilliantCaution yako ni workable kwa mtu anayetoka kwenye familia masikini. Maana all those ten commandments zinalenga kufanya saving! To avoid extravagance! I am I right?
It means bado unaishi na wazazi na haujaachana na starehe!!
Haha smh! Mbona nime-highlight vilivyonigusa kwa namna fulani. Pitia tena post yangu.
Nami nikauliza kulingana na ulivyo highlight na vile ulivyoviacha!!
13.Usimpende sana msichana hadi ukamtamkia, utamuoa!! ndoa huja automatically.
Nilivyo-highlight ndio vinanihusu kiaina. Nilivyoviacha havinihusu. atoto kumbe mkorofi eh?
Havikuhusu maana bado starehe kwa sanaaaaa(mtoto wa mama flani hivi ameizing), alafu bado unaishi home si ndio? Teh teh teh teh, mie sio mkorofi bwana