Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,935
- 183,391
Hahaha dah! Haya bana. Naona mpaka huu uchaguzi uishe, tutakuwa tumeshazoea hizi siasa za kuchafuana. And yeah, we mkorofi.
Hahahaaaaaa! Mie wapi sasa nimekuchafua? We ndio unanichafua kwa kuniita "mkorofi" wakati mtoto wa mwanaume mwenzio mpoleeeeee mpaka najihurumia.