Mambo 10 utafundishwa ukiwa mahabusu

Uzi mzuri
 
Madini kama aya kwingine yanauzwa. Ila jamaa kayatoa bure. Asante sana.
 
Tatizo huwa ni danadana za mahakama kuchelewesha kesi hata ukizingatia hayo yote, unaweza kukujikuta unatumukia kifungo kabla hata hukumu ya mahakama haijatoka.
 
Tatizo huwa ni danadana za mahakama kuchelewesha kesi hata ukizingatia hayo yote, unaweza kukujikuta unatumukia kifungo kabla hata hukumu ya mahakama haijatoka.
Cha muhimu ni kua na Wakili atakae fatilia kesi yko
 


Katiba mpya na kuomba Mungu ndo muhimu, wakitaka kukufunga watakufunga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…