Mambo 10 utafundishwa ukiwa mahabusu

Nmetania tu mkuu[emoji16][emoji16][emoji16] nisije kuandika kitu humu mkaona kichaa kimepanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kipndi hicho nilikua kwenye mazoezi kwa vitendo kwa kozi niliyokua nasomea.
Yote we sema tu sijui tuamini lipi
 
Ila wanaume huwa nao ni machizi hata hao ulio nao home. Maana machizi wa kike wanazalishwa lkn machizi ya kiume hayapati mzigo kwa mwanmke asiiye chizi[emoji2955]
Kisheria ikoje hii
 
Ugonjwa wa akili ni janga ambalo hata ukipona huaminiki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…