Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Trump

..wa kwetu VIP mkuu
1.hapendi kabisa kupingwa
2.anapenda sana tena sana kusifiwa-wengi wa wateule wake wanamjulia na kuamua kumtajataja jina lake mwanzo mwisho mwa hutuba zao
3.akisikia neno chadema na Mbowe anajisikia kuzimia
4.anapenda sana chato
5....
6....
7...
8...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kuwa alikuwa wrestler? Sasa mwanamieleka bila ya mazoezi ingewezekana vipi? Nimesoma hiyo moja tu nikajua the whole lot of your topic is a trash!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump hajawahi Kuwa wrestler. Kwenda WWE ile ilikuwa Ni biashara na kuipa hype WWE kwa Kutafuta professional wrestlers wacheze match huku yeye na yule Vince Macmahon mmiliki wa WWE wakiwa wanabet Nani atashinda kwa hao wrestlers wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna video moja dada mmoja wa kisomali anajaribu kumshawishi trump juu ya kuwahurukia wahamiaji haramu,na kumtajia kwamba kwao kuna vita amepoteza baba mama na kaka zake kwa kifo,then jamaa inamuuliza tena where are they?🤣🤣🤣
 
1.hafanyi mazoezi kabisa kwenye maisha yake na hana hiyo historia, licha ya kuwa na miaka 73 ,mchezo pekee anaoufanya ni golf
2.anaogopa sana kupanda ngazi, huwa hapandi ngazi kabisa labda kuwe hakuna njia nyingine
3.anaogopa sana bakteria hivo hapendi kupeana mikono na akipanda elevator hukwepa kubonyeza botton inayoenda ground floor maana anaamini watu wengi huibonyeza hivo ina vijidudu
4.hutumia si chini ya masaa 10 kila siku kutazama tv na hulala kwa masaa 4 mpaka 5 tuu ,muda wake wa kulala ni kuanzia saa tisa usiku pia ana tabia ya kupigia watu simu hata saa saba usiku
5.ana tabia ya kuchana karatasi anazoandikia au anazosoma na baadhi huzitafuna kabisa, hivyo kuna watu ofisini kwake wameajiriwa ili kuzigundisha hizo karatasi na kuzitunza kutokana na kwamba marekani kuna sheria inayotaka kila karatasi inayopita kwenye meza ya rais itunzwe
6.hauruhusiwi kushika remote ya tv yake ya ikulu hili ni kosa kubwa maana unaweza kumuachia vijidudu, hata chakula anapenda cha kununua kwani huamini ndicho kisafi
7.anapenda sana dhahabu na vioo, hivo hata choo chake kimetengenezwa kwa dhahabu hivo anakalia dhahabu pia amewahi kusema laiti kama binti yake asingekuwa binti yake basi angetoka nae kimapenzi
8.ni mvivu sana wa kusoma hivo amewambia wafanyakazi wa ikulu wafanye summary ya presidential briefing isizidi one page
9.trump mara nyingi hawezi kuandika vizuri hivo huwa anakosea sana kwenye uandishi , ni kawaida kwake kuandika vitu visivoeleweka
10.trump anapenda sana kusifiwa au kutajwa jina lake, ukimpatia taarifa ambayo haijamtaja mara nyingi jina lake haisomi, pia anapenda kutazama channel ya fox news maana huko wanamtaja sana na kumsifu, inasemekana huwa anahesabu ni mara ngapi ametajwa kwa siku kwenye tv
View attachment 1405178

Sent using Jamii Forums mobile app
anaogopa bakteria kias kwamba hashiki vitu hovyo meanwhile anapenda kuchana na kuzitafuna karatas anazosoma.....what a dumb story hahahaha
 
Na hii inamuhusu
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
1.hafanyi mazoezi kabisa kwenye maisha yake na hana hiyo historia, licha ya kuwa na miaka 73 ,mchezo pekee anaoufanya ni golf
2.anaogopa sana kupanda ngazi, huwa hapandi ngazi kabisa labda kuwe hakuna njia nyingine
3.anaogopa sana bakteria hivo hapendi kupeana mikono na akipanda elevator hukwepa kubonyeza botton inayoenda ground floor maana anaamini watu wengi huibonyeza hivo ina vijidudu
4.hutumia si chini ya masaa 10 kila siku kutazama tv na hulala kwa masaa 4 mpaka 5 tuu ,muda wake wa kulala ni kuanzia saa tisa usiku pia ana tabia ya kupigia watu simu hata saa saba usiku
5.ana tabia ya kuchana karatasi anazoandikia au anazosoma na baadhi huzitafuna kabisa, hivyo kuna watu ofisini kwake wameajiriwa ili kuzigundisha hizo karatasi na kuzitunza kutokana na kwamba marekani kuna sheria inayotaka kila karatasi inayopita kwenye meza ya rais itunzwe
6.hauruhusiwi kushika remote ya tv yake ya ikulu hili ni kosa kubwa maana unaweza kumuachia vijidudu, hata chakula anapenda cha kununua kwani huamini ndicho kisafi
7.anapenda sana dhahabu na vioo, hivo hata choo chake kimetengenezwa kwa dhahabu hivo anakalia dhahabu pia amewahi kusema laiti kama binti yake asingekuwa binti yake basi angetoka nae kimapenzi
8.ni mvivu sana wa kusoma hivo amewambia wafanyakazi wa ikulu wafanye summary ya presidential briefing isizidi one page
9.trump mara nyingi hawezi kuandika vizuri hivo huwa anakosea sana kwenye uandishi , ni kawaida kwake kuandika vitu visivoeleweka
10.trump anapenda sana kusifiwa au kutajwa jina lake, ukimpatia taarifa ambayo haijamtaja mara nyingi jina lake haisomi, pia anapenda kutazama channel ya fox news maana huko wanamtaja sana na kumsifu, inasemekana huwa anahesabu ni mara ngapi ametajwa kwa siku kwenye tv
View attachment 1405178

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha ya binti yake ichangamshe Uzi .
 
Back
Top Bottom