Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Trump

1.hafanyi mazoezi kabisa kwenye maisha yake na hana hiyo historia, licha ya kuwa na miaka 73 ,mchezo pekee anaoufanya ni golf
2.anaogopa sana kupanda ngazi, huwa hapandi ngazi kabisa labda kuwe hakuna njia nyingine
3.anaogopa sana bakteria hivo hapendi kupeana mikono na akipanda elevator hukwepa kubonyeza botton inayoenda ground floor maana anaamini watu wengi huibonyeza hivo ina vijidudu
4.hutumia si chini ya masaa 10 kila siku kutazama tv na hulala kwa masaa 4 mpaka 5 tuu ,muda wake wa kulala ni kuanzia saa tisa usiku pia ana tabia ya kupigia watu simu hata saa saba usiku
5.ana tabia ya kuchana karatasi anazoandikia au anazosoma na baadhi huzitafuna kabisa, hivyo kuna watu ofisini kwake wameajiriwa ili kuzigundisha hizo karatasi na kuzitunza kutokana na kwamba marekani kuna sheria inayotaka kila karatasi inayopita kwenye meza ya rais itunzwe
6.hauruhusiwi kushika remote ya tv yake ya ikulu hili ni kosa kubwa maana unaweza kumuachia vijidudu, hata chakula anapenda cha kununua kwani huamini ndicho kisafi
7.anapenda sana dhahabu na vioo, hivo hata choo chake kimetengenezwa kwa dhahabu hivo anakalia dhahabu pia amewahi kusema laiti kama binti yake asingekuwa binti yake basi angetoka nae kimapenzi
8.ni mvivu sana wa kusoma hivo amewambia wafanyakazi wa ikulu wafanye summary ya presidential briefing isizidi one page
9.trump mara nyingi hawezi kuandika vizuri hivo huwa anakosea sana kwenye uandishi , ni kawaida kwake kuandika vitu visivoeleweka
10.trump anapenda sana kusifiwa au kutajwa jina lake, ukimpatia taarifa ambayo haijamtaja mara nyingi jina lake haisomi, pia anapenda kutazama channel ya fox news maana huko wanamtaja sana na kumsifu, inasemekana huwa anahesabu ni mara ngapi ametajwa kwa siku kwenye tv
View attachment 1405178

Sent using Jamii Forums mobile app
11. Anaamini sana katika uongo, karibu kila limtokalo kinywani kwake si la kweli.
Pia hupika (kucheza) na mahesabu (kumbukumbu za kihasibu) za makampuni yake ili yaoneshe ana ukwasi mkubwa kila anapohitaji mkopo zaidi (aoneshe ana uwezo wa kulipa), na pia yaoneshe anapata hasara pale anapotakiwa alipe kodi.

huyu mzee ni kichwa

Tutakuja kusema hata Ubilionea wake si kweli.

Hivi mtu apike hayo mahesabu miaka yote? Wewe umeweza kujua, sembuse walio ktk mabank wa US washindwe kufahamu hili.

Hizi janja janja zimeshamili sana Afrika ila kwa wenzetu hawapo hivyo.

Ubilionea wake sio wa kuungaunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimsikia juzi anasema "I haven't touched my face in weeks akiogopa atajiambukiza Corona kupitia mikono yake.

Sent from my TECNO K8 using Tapatalk

sijui hapo ananawa vipi sasa uso kile kichwa kina jielewa chenyewe, nimemkumbuka saddam hussein alikuwa anapenda ukimsalimia umbusu kwapani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.hafanyi mazoezi kabisa kwenye maisha yake na hana hiyo historia, licha ya kuwa na miaka 73 ,mchezo pekee anaoufanya ni golf
2.anaogopa sana kupanda ngazi, huwa hapandi ngazi kabisa labda kuwe hakuna njia nyingine
3.anaogopa sana bakteria hivo hapendi kupeana mikono na akipanda elevator hukwepa kubonyeza botton inayoenda ground floor maana anaamini watu wengi huibonyeza hivo ina vijidudu
4.hutumia si chini ya masaa 10 kila siku kutazama tv na hulala kwa masaa 4 mpaka 5 tuu ,muda wake wa kulala ni kuanzia saa tisa usiku pia ana tabia ya kupigia watu simu hata saa saba usiku
5.ana tabia ya kuchana karatasi anazoandikia au anazosoma na baadhi huzitafuna kabisa, hivyo kuna watu ofisini kwake wameajiriwa ili kuzigundisha hizo karatasi na kuzitunza kutokana na kwamba marekani kuna sheria inayotaka kila karatasi inayopita kwenye meza ya rais itunzwe
6.hauruhusiwi kushika remote ya tv yake ya ikulu hili ni kosa kubwa maana unaweza kumuachia vijidudu, hata chakula anapenda cha kununua kwani huamini ndicho kisafi
7.anapenda sana dhahabu na vioo, hivo hata choo chake kimetengenezwa kwa dhahabu hivo anakalia dhahabu pia amewahi kusema laiti kama binti yake asingekuwa binti yake basi angetoka nae kimapenzi
8.ni mvivu sana wa kusoma hivo amewambia wafanyakazi wa ikulu wafanye summary ya presidential briefing isizidi one page
9.trump mara nyingi hawezi kuandika vizuri hivo huwa anakosea sana kwenye uandishi , ni kawaida kwake kuandika vitu visivoeleweka
10.trump anapenda sana kusifiwa au kutajwa jina lake, ukimpatia taarifa ambayo haijamtaja mara nyingi jina lake haisomi, pia anapenda kutazama channel ya fox news maana huko wanamtaja sana na kumsifu, inasemekana huwa anahesabu ni mara ngapi ametajwa kwa siku kwenye tv
View attachment 1405178

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza na mpenda c.l.t.r.s
 
Kamwe hatakuja Africa kwani haamini kama kuna faida yoyote kwa USA kutoka Africa, na pia anaona Africa kama tundu la mavi.
 
Tutakuja kusema hata Ubilionea wake si kweli.

Hivi mtu apike hayo mahesabu miaka yote? Wewe umeweza kujua, sembuse walio ktk mabank wa US washindwe kufahamu hili.

Hizi janja janja zimeshamili sana Afrika ila kwa wenzetu hawapo hivyo.

Ubilionea wake sio wa kuungaunga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sure
 
anaogopa bakteria kias kwamba hashiki vitu hovyo meanwhile anapenda kuchana na kuzitafuna karatas anazosoma.....what a dumb story hahahaha
mkuu hujui kiswahili, hujui neno “hovyo” lina maana gani, hizo karatasi anazochana ni lazima azishike kwa sababu zina presidential briefings na taarifa nyingine muhimu hawezi kuendesha nchi bila kuzigusa,ninaposema anapenda kuchana na kutafuna karatasi haimaanishi ni kila karatasi bali zile anazolazimika kugusa
KWA MARA NYINGINE NASISITIZA HUJUI KISWAHILI
 
Back
Top Bottom