Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Trump

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Trump

11. Anaamini sana katika uongo, karibu kila limtokalo kinywani kwake si la kweli.
Pia hupika (kucheza) na mahesabu (kumbukumbu za kihasibu) za makampuni yake ili yaoneshe ana ukwasi mkubwa kila anapohitaji mkopo zaidi (aoneshe ana uwezo wa kulipa), na pia yaoneshe anapata hasara pale anapotakiwa alipe kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ukoo wenu mkiwa na wakina Trump watatu tu basi umaskin mtausikia kwa majirani

Jamaa ana kichwa kikali cha biashara na uchumi
 
Tutakuja kusema hata Ubilionea wake si kweli.

Hivi mtu apike hayo mahesabu miaka yote? Wewe umeweza kujua, sembuse walio ktk mabank wa US washindwe kufahamu hili.

Hizi janja janja zimeshamili sana Afrika ila kwa wenzetu hawapo hivyo.

Ubilionea wake sio wa kuungaunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujanja ujanja anauweza Mo wa Simba
 
Tutakuja kusema hata Ubilionea wake si kweli.

Hivi mtu apike hayo mahesabu miaka yote? Wewe umeweza kujua, sembuse walio ktk mabank wa US washindwe kufahamu hili.

Hizi janja janja zimeshamili sana Afrika ila kwa wenzetu hawapo hivyo.

Ubilionea wake sio wa kuungaunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa. Ubilionea wake ni wa kuungaunga, kuwazika watu na hata mabenki. Aliikopa benki moja akakaa na deni muda mrefu bila kulipa mpaka benki ikasamehe, miaka ikapita akairudia Ile Ile benki kuwa imkopeshe tena ili aweze kulilipa deni la kwanza, wakaingia mkenge ikawa imetoka. Hata kumshitaki waliona aibu kwa uzuzu waliouonesha.
Kuna kesi mpaka sasa bunge na pia hombo la New York, linamtaka aweke mahesabu ya biashara zake ya miaka iliyopita hadharani, na inaipigania hiyo kitu isitokee kwa nguvu zake zote.
Ni tapeli la nguvu!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu mieleka
alikuwa anajihusisha kama sponsor/promoter lakini hakuwahi kucheza mieleka, amafanya mambo mengi sana miaka hiyo hata ukitazama movie ya home alone part 2 utamuona
 
Yaani ananyea kwenye dhahabu hapo namba 7.Wakati inatokea huku kwetu masaini.Kweli huyu kaiabisha Tanzanite

Sent using Jamii Forums mobile app
wazungu dhahabu ni kama cement, DJ khaled ana elevator nyumbani kwake ni ya dhahabu, hata hapa Africa mobutu alitengeneza ndoo za dhahabu akapandia maua nyumbani kwake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom