K kanone JF-Expert Member Oct 10, 2013 6,188 1,576 Aug 25, 2015 #161 killian2016 said: huna jipya Click to expand... asiye na jipya ni mnyika na slaa na nyaraka za lowasa na richmond zilizowapa sifa wakati leo wamefyata mkia,aibu kwa unafiki ,wape salamu boy,
killian2016 said: huna jipya Click to expand... asiye na jipya ni mnyika na slaa na nyaraka za lowasa na richmond zilizowapa sifa wakati leo wamefyata mkia,aibu kwa unafiki ,wape salamu boy,
K kanone JF-Expert Member Oct 10, 2013 6,188 1,576 Aug 25, 2015 #162 mahanju said: hueleweki wewe! Click to expand... hauwezi kunielewa wewe ni wajana kwenye siasa za nchi hii kamwambie mafya wako lowasa na kundi lake la kishetani,
mahanju said: hueleweki wewe! Click to expand... hauwezi kunielewa wewe ni wajana kwenye siasa za nchi hii kamwambie mafya wako lowasa na kundi lake la kishetani,
Legend Hax Member Oct 24, 2011 55 15 Aug 25, 2015 #163 Wanaongea wengi lakini UKAWA ndo chama ya ukwefenga na Lowassa ndo Rahisi.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Apr 23, 2015 18,783 66,962 May 8, 2018 #164 Erythrocyte said: asante sana , kiukweli umeandika kila kitu ! na nakiri kwamba una akili sana , umeona ambayo wengi hawajaona , hongera sana . Click to expand... hahaha...
Erythrocyte said: asante sana , kiukweli umeandika kila kitu ! na nakiri kwamba una akili sana , umeona ambayo wengi hawajaona , hongera sana . Click to expand... hahaha...
S stormryder JF-Expert Member Mar 23, 2013 2,221 2,560 Jul 30, 2018 #166 Malissa anasomaga hii post??
carcinoma JF-Expert Member Mar 5, 2017 5,059 13,721 Jul 30, 2018 #167 Hahahaaaaa wahenga waliosema 'tuweke akiba ya maneno' hawakuwa wajinga.. Hivi malisa akisoma maneno yake ya miaka 3 iliyopita anajiskiaje? Ndio maana sijawahi kumuamini mwanasiasa
Hahahaaaaa wahenga waliosema 'tuweke akiba ya maneno' hawakuwa wajinga.. Hivi malisa akisoma maneno yake ya miaka 3 iliyopita anajiskiaje? Ndio maana sijawahi kumuamini mwanasiasa
lukesam JF-Expert Member Feb 23, 2015 12,430 25,669 Jul 30, 2018 #168 Ruttashobolwa said: Mwandishi wa hii makala kumbe ni yule Masawe Melisa anaye muabudu Slaa na Mbowe.....sijaona cha maana hapo bali hadithi za Bavicha... Click to expand... Nafikiri nikisema vijana wasiwe wanakubali kupelekwa na upepo wa vyama vyao bali wadadavuwe na kuchanganua ukweli huwa ni ngumu kueleweka. Ona sasa,mleta uzi alikuwa anamkandia na kumzushia Lowassa kwasababu tu alikuwa sio mwanachama wa chama chake. Wewe pia ulikuwa unampinga mleta uzi kwasababu tu alikuwa anamsema mtu wa chama chako. Kilichotokea ni historia.
Ruttashobolwa said: Mwandishi wa hii makala kumbe ni yule Masawe Melisa anaye muabudu Slaa na Mbowe.....sijaona cha maana hapo bali hadithi za Bavicha... Click to expand... Nafikiri nikisema vijana wasiwe wanakubali kupelekwa na upepo wa vyama vyao bali wadadavuwe na kuchanganua ukweli huwa ni ngumu kueleweka. Ona sasa,mleta uzi alikuwa anamkandia na kumzushia Lowassa kwasababu tu alikuwa sio mwanachama wa chama chake. Wewe pia ulikuwa unampinga mleta uzi kwasababu tu alikuwa anamsema mtu wa chama chako. Kilichotokea ni historia.