mambo 10 ambayo wanawake wanawazidi wanaume

mambo 10 ambayo wanawake wanawazidi wanaume

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,314
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko
Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi
Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda
Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa
Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara
Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha
Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na
Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala
Biashara Yoyote(Akili Kumkichwa).
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu
Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka
Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa
Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye
Mapenzi.
10. Nipe Nyingine Unayodhani
Nimeisahau....!
 
Umesahau jambo moja muhimu sana:
Mwanamke hata akivua nguo hayupo uchi, hilo ni kinyume kwa mwanaume.
 
Refer sifa namba 3: Akikuchukia na akakutoa moyoni, utajuuuuta kumfahamu
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko
Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi
Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda
Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa
Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara
Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha
Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na
Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala
Biashara Yoyote(Akili Kumkichwa).
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu
Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka
Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa
Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye
Mapenzi.
10. Nipe Nyingine Unayodhani
Nimeisahau....!
 
Umesahau la muhimu !
Kioo! Babaa Kioo! Mwanamke na Kioo ni kama Fish na Mma!
Hata vioo vya madukani panapowekwa display items mwanamke hakisamehi atajipiga tu chabo!
 
Hio namba 2 sio wakati wote wanawezafahamu baba wa mtoto.
 
14.Wanawake wanajua kuwaliza wanaume kitandani
 
Back
Top Bottom